ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,533
- 119,476
Hahahaha ujue inategemea huyo mwanaume anakuonaje...akikuona umekaa kujiuza uza basi atakupa condition kama za mzabzab, ila akikuona innocent na mtu mwenye misimamo na maisha yake mbona atazitoa tu hadi mwanamke mwenyewe aone aibu
Ni kweli, wanaume wanasoma namba kwanza..