Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana nikachukua no ya simu, pole pole tukazoeana tukawa tunatoka out movie tunaenda nyama choma mara moja moja basi nikapiga sound. Dah dada akawa mpole kwel akaniambia kuwa ananipenda ila ana mtu wake na hawezi kuwa na watu wawili. Nafanya je?
Ushauri tafadhali
halafu mwanaume tafuta kazi ya maana mwanaume utakuwaje cashier bana...unapokea hela za wanaume wengine wewe unadeposit tu na kuhesabu
toka dirishani huko kuhesabu hesabu hela kama wanawake kawajibike
nenda migodini kachimbe vifusi,nenda bandarini au karushe ndege
hata mimi ningekukataa
Hakuna! Narudia tena hakuna! Dada mwenye 23 n above afu asiwe na mtu hata wa kuzugia!!!!!!!!!
Kumbe we nae unae eeeeh
So what?
Mpeni ushauri...
huyo ndio mzuri...wee unamgegeda tuu na unamwacha na huyo bwana wake...yaa i ale nyama bure...hapana mwanamke akitumia pesa ya mwanaume lazima chupi ishuke
mhh sio lazima bwana, mbona mimi nimetumia na haikushushwa??
Sasa
sasa huyo sio mwanaume wa kweli...mie demu namwambia mapema ukitaka kula changu ujue papuchi unatoa...hataki simtoi out. direct to the point
mhh sio lazima bwana, mbona mimi nimetumia na haikushushwa??
Hahaaaaa ! Umenichekesha weye!
Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana nikachukua no ya simu, pole pole tukazoeana tukawa tunatoka out movie tunaenda nyama choma mara moja moja basi nikapiga sound. Dah dada akawa mpole kwel akaniambia kuwa ananipenda ila ana mtu wake na hawezi kuwa na watu wawili. Nafanya je?
Ushauri tafadhali
why not?ahahaaa
Mimi tenaaaaaaaaaa! NINAO!!!!!!!