Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Lakini kakuGegeda au hajakuGegeda?
Bado, ndiyo tunaanza kufahamiana, ukumbuke ile kitu haiko kiganjani wala kwenye paji la uso, kuifikia ni lazima ufanye jitihada.
Lakini kakuGegeda au hajakuGegeda?
Sasa unataka ufanye nini na mtu keshachukuliwa...hujui kama ukiendelea kuwa karibu nae ndo unavyozidi kufall kwake chakufanya ww achana nae yaani punguza mawasiliano au yakate kabisaaaa...utaumia lkn utapoa..Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana nikachukua no ya simu, pole pole tukazoeana tukawa tunatoka out movie tunaenda nyama choma mara moja moja basi nikapiga sound. Dah dada akawa mpole kwel akaniambia kuwa ananipenda ila ana mtu wake na hawezi kuwa na watu wawili. Nafanya je?
Ushauri tafadhali
Sasa ww unataka ufanye nini na mtu keshachukuliwa we huna chako hapo na ukiendelea kujenga ukaribu nae ndo utakavyozidi kufall kwake kwahio chakufanya ni kupunguza au kukata mawasiliano...Utaumia lkn utapoa..Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana nikachukua no ya simu, pole pole tukazoeana tukawa tunatoka out movie tunaenda nyama choma mara moja moja basi nikapiga sound. Dah dada akawa mpole kwel akaniambia kuwa ananipenda ila ana mtu wake na hawezi kuwa na watu wawili. Nafanya je?
Ushauri tafadhali
wee hao sio wanaume wa kweli bwana...mie demu namwambia kabisa urafiki na demu sinaga na pia ukikaa chini ule vya kwangu ujiandae kutoa papuchi...mapema nakwambia ukweli so kama wajijua wewe sio mtoaji papuchi huwezi kula vya kwangu
Dunia hii misimamo mbona inavunjwa tu?hata wewe ipo siku vyako vitaliwa tu na usipewe chochote
thubutu!!! i hate women taking advantage of me with a passion!! nilihonga nilivyokuwa mdogo na sikupata kitu nikakemewa na mama and from that day i vowed never to give a woman money bila kumvua chupi unless ni mama au ndungu yangu
Wapo wengi tu na zinaliwa sana, kama si wewe kwa wengine
Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana nikachukua no ya simu, pole pole tukazoeana tukawa tunatoka out movie tunaenda nyama choma mara moja moja basi nikapiga sound. Dah dada akawa mpole kwel akaniambia kuwa ananipenda ila ana mtu wake na hawezi kuwa na watu wawili. Nafanya je?
Ushauri tafadhali