Anasema ananipenda ila ana mtu

Anasema ananipenda ila ana mtu

Tembomtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
266
Reaction score
427
Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana nikachukua no ya simu, pole pole tukazoeana tukawa tunatoka out movie tunaenda nyama choma mara moja moja basi nikapiga sound. Dah dada akawa mpole kwel akaniambia kuwa ananipenda ila ana mtu wake na hawezi kuwa na watu wawili. Nafanya je?

Ushauri tafadhali
 
Mhh we ulitaka afanyaje hapo.??ukiona aweza mwacha bwanake we pia waweza achwa vlevle.usitake haribu mapenz ya watu.ingekua we ungejickiaje??
 
Kakuambia ivo ili usije ukatangaza ndoa. Pia ukikuta imetumika ujue tayari alishakwambia.
 
halafu mwanaume tafuta kazi ya maana mwanaume utakuwaje cashier bana...unapokea hela za wanaume wengine wewe unadeposit tu na kuhesabu
toka dirishani huko kuhesabu hesabu hela kama wanawake kawajibike
nenda migodini kachimbe vifusi,nenda bandarini au karushe ndege
hata mimi ningekukataa
 
Smile duh kazi ni kazi bana hata kuuza gazeti barabarani mradi anajipatia riziki yake
Duh balaa yaani umemuona cashier hawezi kuwa na pesa mbona wengi tuu aise
Dah nimeshindwa kuchangia hata huu uzi
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahali umekosea
ameshindwa kukusoma

asingekubali muende out kama hakukuwa na nafasi ya wewe kumpata
nafasi ilikuwepo,ila kuna kitu umeharibu

unaweza kukuta hata mtu hana
 
shosti muonee huruma jamani looo.
 
Smile duh kazi ni kazi bana hata kuuza gazeti barabarani mradi anajipatia riziki yake
Duh balaa yaani umemuona cashier hawezi kuwa na pesa mbona wengi tuu aise
Dah nimeshindwa kuchangia hata huu uzi
bora kuuza gazeti bana huo ndo uanaume unachomwa na jua ...mvua kali ina unaziokota ...sio huyu anasubiri kuzihesabu hela za jasho la wanaume ...aachie mademu kazi hizo
 
Kuna mahali umekosea
ameshindwa kukusoma

asingekubali muende out kama hakukuwa na nafasi ya wewe kumpata
nafasi ilikuwepo,ila kuna kitu umeharibu

unaweza kukuta hata mtu hana
kila siku mdada yupo dirishani hata buku 2 ya juice hajawai kupewa
hata coin ya pipi....jamaa alishindwa kutumia fursa toka mwanzoni
 
bora kuuza gazeti bana huo ndo uanaume unachomwa na jua ...mvua kali ina unaziokota ...sio huyu anasubiri kuzihesabu hela za jasho la wanaume ...aachie mademu kazi hizo
Smile wewe balaa aise
haya bana ngoja na mimi nikauze gazeti sasa maana umetusema macashier aise
 
Last edited by a moderator:
Smile wewe balaa aise
haya bana ngoja na mimi nikauze gazeti sasa maana umetusema macashier aise
huwa nashangaa sana mwanaume anakuwa houseboy kwa mtu,anafua,anaogesha watoto,anafua khanga za mama mwenye nyumba. anafua boxer za tajiri yake kumfutia viatu kumuoshea gari .anapika na kwenda sokoni nk ..mtu kama huyo ana nguvu kibao tu kilo 80 kwenda mbele ukimuuliza atasema ni bora pesa
bora pesa nini ? duniani na opportunity zote mwanaume mzima kakosa means nyingine ya kujipatia hela kweli. elfu hamsini inakufanya udhalilike kwa mwanaume mwenzako namna hiyo...wakati nchii hii mapori ni kibao si bora ulime au ufuge hata mbuzi wa maziwa
 
hata huyo aliyenaye siyo mume wake:kev:, anakumbia nina mtu ili ukimkuta na mtu usitaharuki, akili kichwani.
A%20S%20576.gif
 
halafu mwanaume tafuta kazi ya maana mwanaume utakuwaje cashier bana...unapokea hela za wanaume wengine wewe unadeposit tu na kuhesabu
toka dirishani huko kuhesabu hesabu hela kama wanawake kawajibike
nenda migodini kachimbe vifusi,nenda bandarini au karushe ndege
hata mimi ningekukataa

Utamkubali akugegede?
 
Back
Top Bottom