Tunakodisha Bunduki
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 822
- 1,280
- Thread starter
- #41
Mkuu hAwa ni waku shareNakufundisha lakini we ukiwa mtu wake mie nitakuja kumchukua na kwako niwe mtu wake , usije kulalamika hapa
Mkuu hAwa ni waku shareNakufundisha lakini we ukiwa mtu wake mie nitakuja kumchukua na kwako niwe mtu wake , usije kulalamika hapa
Mkuu asante kwa ushauriBlaza na ww unakuwa kama kutongoza hujui...mademu wengi wapo hivyo...unaanza nae hivyo hivyo...mdogo mdogo...akizubaa atajikuta keshaliwa
Mwambie mbona hata mimi nina mtu piaHabar wana MMU
Jana kuna kamanzi nilikatupia maneno ya moyoni kuwa nakapenda sasa kila nikiweka kanaruka viunzi eti kanadai kuwa kako na mtu tayari. Swali linakuja, hivi nikionana nako naweza badili msimamo wake kweli au kama kuna mbinu nyingine naomba nijuzwe.