mgweno kasure
Senior Member
- Aug 20, 2016
- 141
- 45
walioko single ni wengi yanini kumfata anayamilikiwa tayari? kila mla cha mwenziye......!?
Mkuu akitulia ntamfikiria ...eti anataka tubaki marafiki
Sasa mkuu kama kila ninAye mfatA anAsemA ana boyfriend ntafata wangap?walioko single ni wengi yanini kumfata anayamilikiwa tayari? kila mla cha mwenziye......!?
Asante kwa ushauri mkuuMkuu, mbona the way is clear! urafiki ndio gear no 1 ya kukubaliwa.
Yani nisile papuchi mpka hizo hela nizipate?tafuta pesa atakuja mwenyewe
usile we si unataka kuoa?Yani nisile papuchi mpka hizo hela nizipate?
Naona hunitakii mema ww sio bureusile we si unataka kuoa?
hapana mkuu kuzini dhambi ujue utachomwa moto ohoooooNaona hunitakii mema ww sio bure
Sasa mkuu we umefanya dhambi ngapi?na kuzini kwa wiki unazini mara ngapi?na bado hujAolewAhapana mkuu kuzini dhambi ujue utachomwa moto ohooooo
Wewe ni ke au me?Mwache huyo na mtu wake,
tumechoka na watu wanaokuja huku jf
kulialia eti wametendwa na huku
mtu kawa mwaminifu kakuambia mapema.
mi nakushauri tu .. usijechomwa haya ... Mungu kaniona nimetoa neno leo jemaSasa mkuu we umefanya dhambi ngapi?na kuzini kwa wiki unazini mara ngapi?na bado hujAolewA
Mimi ni Mwanaume..Wewe ni ke au me?
Blaza na ww unakuwa kama kutongoza hujui...mademu wengi wapo hivyo...unaanza nae hivyo hivyo...mdogo mdogo...akizubaa atajikuta keshaliwaMkuu akitulia ntamfikiria ...eti anataka tubaki marafiki
Mkuu hyo Avatar nA mapenzi sizani kama vinahusianaAnavyokuambia kuwa ana mtu wake ni kwamba ametumia lugha ya tafsida kukuambia kuwa hakupendi mkuu!.......na kama hiyo picha hapo kwenye avatar yako ni wewe hata kama huyo manzi angekuwa ni mimi ningekupiga chini pia[emoji1]