Muktadha wa kauli yangu ni kuwa yeyote anaweza kusalitiwa, Diamond Platnumz licha ya pesa na umaarufu Africa nzima ila aliweza kupigwa tukio wewe ni naniKwani mkuu kwako Diamond alikuwa anaonekana kama mtu ambaye hastahili kusalitiwa?
Ulicho shindwa kuelewa ni kuwa, ukishakuwa maarufu na ukawa na pesa ndo rahisi kuchapiwa zaidi.Muktadha wa kauli yangu ni kuwa yeyote anaweza kusalitiwa, Diamond Platnumz licha ya pesa na umaarufu Africa nzima ila aliweza kupigwa tukio wewe ni nani
Sio lazima iwe hivyo , hata kama hauna hata mia mwanamke anaekupenda ni ngumu kukusaliti , na unaweza kuwa na ma bilioni kadhaa lakini ukasalitiwa tu kama haujapendwa kwa dhati.Muktadha wa kauli yangu ni kuwa yeyote anaweza kusalitiwa, Diamond Platnumz licha ya pesa na umaarufu Africa nzima ila aliweza kupigwa tukio wewe ni nani
Sana YaniInasikitisha sana
KabisaSio lazima iwe hivyo , hata kama hauna hata mia mwanamke anaekupenda ni ngumu kukusaliti , na unaweza kuwa na ma bilioni kadhaa lakini ukasalitiwa tu kama haujapendwa kwa dhati.
Mapenzi yafutwe, yatatuua.....Sio lazima iwe hivyo , hata kama hauna hata mia mwanamke anaekupenda ni ngumu kukusaliti , na unaweza kuwa na ma bilioni kadhaa lakini ukasalitiwa tu kama haujapendwa kwa dhati.
Kwahiyo kisa diamond unataka kuhalalisha na wengine wasitiwe? Mwanaume mzima unaanza comparison za kijinga na wanaume wenzio au we ni shoga?Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu.
Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama wa watoto wa Diamond Platnumz anayefahamika kama Zari aliwahi kumchiti Diamond Platnumz na mmoja wa wasanii wa kundi la Psquare.
Licha ya Diamond Platnumz kuwa maarufu na kupata viji pesa lakini aliweza kupigwa matukio na wapenzi wake, wewe ni nani uisalitiwe au husigongewe. Muda mwingine unagongewa lakini ni ngumu kujua kuwa mpenzi wako kapigwa nyama na mtu mwingine. Cha msingi tu ukiona umesalitiwa na uwezi kuvumilia basi achana nae hata kama unampenda sana, maana wengine ndio tabia zao kuchiti au hawezi kukaa na mtu mmoja hivyo lazima akitembeze.