Kwa hali ya uchumi ilivyo, kulikuwa na haja ya ku-allocate fund kusherehekea miaka 50 ya taabu,mgao wa umeme usioisha,ufisadi,njaa,ujinga,maradhi ,ukosefu wa ajira n.k ?
Kwa nini viongozi wetu wasingewahurumia wapiga kura hata wawanunulie vifaa vya tiba tu kuliko kutumbua hela kuwalipa mapacha 3 na makhirikhiri.
Ni dhihaka kubwa kupokea msaada wa mashine ya upasuaji yenye thamani ya mil 47 kutoka barrick kwa hospitali ya mkoa wa mara wakati serikali ikitumbua mamilioni pasipo sababu za msingi.