Anasa ya sherehe: Miaka 50 ya uhuru

mkuu, budget za sherehe kila wizara ukiziona unzweza ukalia machozi.
Ujue makitibu wakuu wanapewa directives kutoka kwa luhanjo, luhanjo anatekeleza resolution za kikao cha mawaziri na seculars nyingine, lakini kikao cha mawaziri kinapewa directives na cc ya ccm.

Ukweli ni kwamba, hapa ndipo ccm wanapochukua hela ya kampeni mwaka 2015....wanaona hali itakuwa mbaya huko mbeleni, so hela ya bure kabisa ni hii ya uhuru.

Inauma sana.

haki ya mungu sr birigita umetoa ufafanuzi mzuri kabisa kuhusu maelekezo ya luhanjo kwa makatibu wakuu kufanya hizo mbwembwe zao sasa ebu fuatilia humo ndani unaweza ona wanafanya matumizi haya kumwezesha luhanjo kumbuka yeye atastaafu tarehe 9/12/2011 wanachofanya makatibu wakuu ni kuhamisha fedha kupitia matangazo ya sherehe hizo ili zile kampuni zilikilipwa mamilioni hayo wanaweka bei na cha juu humo ndani halafu fedha zinatolewa cash kutoka kampuni inampa luhanjo.huyu mzeeni hatari sana ndio maana mpaka anastaafu hajawahi kumwajibisha mwizi yoyote serikalini ona hata alivyomtetea dj (jairo),kitu ambacho ninavyojua kama kiongozi wa utumishi wa umma dj angekutwa na kosa alitakiwa kupigwa ban hata kufanya biashara ya kuiuzia ukwaju serikali hata kama tunauhitaji kwaajili ya kuongeza appetait kwa watz ili kupanua soko la chakula.yaani ukiniambia kuhusu luhanjo inaniuma sana na hata nimetafuta tarehe yake ya kuapishwa nikaona wosia aliopewa na jk mwenyewe nimekuteua uwe katibu mkuu kiongozi najua utafanya kama ulivyofanya kazi pale wizara ya mambo ya nje sasa sijui alifanya nini kama style aliyotumia kuongoza mambo ya nje ndo anatumia kuongoza mawizara haya mazito na sisi tulinyamaza kwa kuwa hatukumjua mkuu alikuwa ana maana gani ila nadhani ni huu upuuzi tunaouona sasa huyu ndio kiongozi wa watumishi wa umma.
 
mkuu, mimi kusema kweli nilikuwa sijaelewa pale watu walivyokuwa wakituita Watanzania wajinga lakini jana nilipita kwenye uwanja wa taifa pale Temeke, Mandela rd ndio nikapata ushahidi.
Sikuamini macho yangu (bahati mbaya sikuwa na camera) kuona kumbe ule uwanja wa zamani wa taifa (shamba la bibi) unakarabatiwa kwa kuwekewa majukwaa na nilivyouliza watu waliokuwepo wakasema ni maanalizi ya sherehe za miaka 50 ya uhuru!
Unajenga viwanja viwili kwenye eneo ambalo hata mita kumi hazifiki kutoka kimoja hadi kingine wakati pale Tabora uwanja wa Ali Mwinyi 'umeoza', Mwanza Kirumba haitamaniki lakini hata hapa Dar es Salaam maeneo yenye watu wapenda michezo (Sinza, Mabibo, Gongo la Mboto, Tabata, Tegeta, Kimara nk) hakuna hata viwanja!
Na kabla hujatulia unamsikia mtu (anayeijua serikari vizuri) Edward Lowasa anasisitiza kuwa PESA ZIPO! Na hapo wanatumia tu, siku moja ya kusherehekea 'fairure' tunatumia gharama zisizo na umuhimu wowote ambazo zineweza kutatua tatizo la maji DSM kwa karibia 50%.
Sitaki niamini kuwa tumelaniwa!!!
Mkuu, budget za sherehe kila wizara ukiziona unzweza ukalia machozi.
ujue makitibu wakuu wanapewa directives kutoka kwa Luhanjo, luhanjo anatekeleza resolution za Kikao cha mawaziri na seculars nyingine, lakini Kikao cha mawaziri kinapewa directives na CC ya CCM.

Ukweli ni kwamba, hapa ndipo CCM wanapochukua hela ya kampeni mwaka 2015....wanaona hali itakuwa mbaya huko mbeleni, so hela ya bure kabisa ni hii ya UHURU.

Inauma sana.
 
Back
Top Bottom