Anapotengua teuzi mnalalamika! Mnataka afanye nini sasa?

Tangia aondoke Dr Slaa upinzani umepwaya au haupo kabisa wao hawaibui ajenda wanasubiri rais au serikali itateleza wapi ndio inakuwa ajenda kwao. JPM anawaprove wrong kila siku kuna siku watajikuta wanaenda kwenye uchaguzi hawajui wawaambie nini wananchi zaidi ya bashite.
 
Yule bwana mwingine alikuwa mpole sana hadi akaitwa 'dhaifu'. Yeye alikuwa hatengui tengui teuzi zake.

Yeye ilikuwa mtu akipwaya sana anapewa muda mwingi wa kujirudi. Hali hiyo ilipelekea yeye kuitwa kila aina ya majina ya dhihaka na wanachama wa JF ndo walikuwa mstari wa mbele kumkosoa kwa huo 'udhaifu' wake.

Zama zake zilikuja na zikaisha. Sasa tupo kwenye zama za Ngosha.

Huyu ngosha yeye yuko tofauti sana na bwana yule aliyemtangulia. Ngosha yeye akikuteua leo na baadaye kidogo akikuona unapwaya anatengua uteuzi wako mara moja.

Hiyo ni sifa ambayo bwana yule hakuwa nayo.

Lakini sasa cha ajabu huyu Ngosha akifanya kile ambacho yule bwana hakuwa na mazoea ya kukifanya, naye anaishia kulaumiwa, kubezwa, na kulaaniwa eti anatengua sana teuzi zake.

Kwa kweli watu wameshavurugwa kiasi kwamba hawajui hata wakitakacho tena.

Sasa kama huyu Ngosha anamteua mtu na baadaye anakuja kuona huyo mtu anapwaya watu mlitakaje? Mlitaka amchekee chekee tu?

Hata ingekuwa mimi ndo nimekuteua halafu nakuona unapwaya kwenye hiyo nafasi natengua tu uteuzi wako. Sina kabisa muda wa kuvumilia ukadiri [mediocrity].

Ila kusema ukweli uongozi wa umma ni kazi ngumu sana. Manake ukifanya yale ambayo yalikuwa yanapigiwa makelele na watu kuwa hayafanyiki mwisho wake unaishia kulalamikiwa tu na wewe kuwa umezidi kuwa hivi na vile!

Ni kazi ambayo haina shukurani za papo kwa hapo. Na ndo maana hata rais Kikwete ambaye alidhihakiwa sana kipindi chake leo hii eti anasifiwa na hao hao walokuwa wanamdhihaki na kumwita 'dhaifu'.

Hivyo naamini ipo siku tu hata huyu Ngosha mtamkumbuka, mtamshukuru, na mtamsifu. Ni suala la muda tu.....
Atowe na reasons tutamuelewa...
 
Rais ni taasisi atoe dira kwa nchi inatakiwa ielekee wapi sio mambo ya kuteua.tunataka ajenda za kututoa hapa..anauwezo wakuwa na think tank ya watu wenye fikra pana ..aache umimi...angekuwa anaakili sana angekuwa na uwezo wakutengeneza ajira individual as Mengi and Baharessah do
 
Sikuzote Wahuni hawana jambo lakusimamia
kizuri kwao leo kesho kibaya
na kibaya leo kesho kizuri!!
Wamevurugwa kiasi hawana hata kumbukumbu kichwani,
Jambo lamufurahisha nikuwa wana Tambua Magu si Jk
hatishwi
hapangiwi
Haingiliwi
hivyo Wanajisumbua na Uhuni wao
Jamaa ndio kwaanza Kakomaa nguvu ni ileile

Leo hii wapinzani wanamlaumu Magu kuzuia mchanga wa dhahabu kwenda nje yani mpaka unabaki unashangaa.
 
Yule bwana mwingine alikuwa mpole sana hadi akaitwa 'dhaifu'. Yeye alikuwa hatengui tengui teuzi zake.

Yeye ilikuwa mtu akipwaya sana anapewa muda mwingi wa kujirudi. Hali hiyo ilipelekea yeye kuitwa kila aina ya majina ya dhihaka na wanachama wa JF ndo walikuwa mstari wa mbele kumkosoa kwa huo 'udhaifu' wake.

Zama zake zilikuja na zikaisha. Sasa tupo kwenye zama za Ngosha.

Huyu ngosha yeye yuko tofauti sana na bwana yule aliyemtangulia. Ngosha yeye akikuteua leo na baadaye kidogo akikuona unapwaya anatengua uteuzi wako mara moja.

Hiyo ni sifa ambayo bwana yule hakuwa nayo.

Lakini sasa cha ajabu huyu Ngosha akifanya kile ambacho yule bwana hakuwa na mazoea ya kukifanya, naye anaishia kulaumiwa, kubezwa, na kulaaniwa eti anatengua sana teuzi zake.

Kwa kweli watu wameshavurugwa kiasi kwamba hawajui hata wakitakacho tena.

Sasa kama huyu Ngosha anamteua mtu na baadaye anakuja kuona huyo mtu anapwaya watu mlitakaje? Mlitaka amchekee chekee tu?

Hata ingekuwa mimi ndo nimekuteua halafu nakuona unapwaya kwenye hiyo nafasi natengua tu uteuzi wako. Sina kabisa muda wa kuvumilia ukadiri [mediocrity].

Ila kusema ukweli uongozi wa umma ni kazi ngumu sana. Manake ukifanya yale ambayo yalikuwa yanapigiwa makelele na watu kuwa hayafanyiki mwisho wake unaishia kulalamikiwa tu na wewe kuwa umezidi kuwa hivi na vile!

Ni kazi ambayo haina shukurani za papo kwa hapo. Na ndo maana hata rais Kikwete ambaye alidhihakiwa sana kipindi chake leo hii eti anasifiwa na hao hao walokuwa wanamdhihaki na kumwita 'dhaifu'.

Hivyo naamini ipo siku tu hata huyu Ngosha mtamkumbuka, mtamshukuru, na mtamsifu. Ni suala la muda tu.....
Mkuu inaonekana wazi kuwa anatengua akiona tu uko tofauti nae na sio kupwaya...ukisimamia hoja ambazo yeye anaona mnatofautiana anakutengua...
 
Baada ya huyu mh kufanya yale yaliyo kuwa yanalalamikiwa na pia watu bado wanapaza sauti najaribu kupata picha labda watanzania tunataka rais awe wa kati ya mh jk na mh jpm yaani awe na tabia nusu za huyu na nusu za yule ni ngumu kumpata mtu wa hivyo kila mmoja ana udhaifu wake kama binadamu wote tulivyo.
 
Yule bwana mwingine alikuwa mpole sana hadi akaitwa 'dhaifu'. Yeye alikuwa hatengui tengui teuzi zake.

Yeye ilikuwa mtu akipwaya sana anapewa muda mwingi wa kujirudi. Hali hiyo ilipelekea yeye kuitwa kila aina ya majina ya dhihaka na wanachama wa JF ndo walikuwa mstari wa mbele kumkosoa kwa huo 'udhaifu' wake.

Zama zake zilikuja na zikaisha. Sasa tupo kwenye zama za Ngosha.

Huyu ngosha yeye yuko tofauti sana na bwana yule aliyemtangulia. Ngosha yeye akikuteua leo na baadaye kidogo akikuona unapwaya anatengua uteuzi wako mara moja.

Hiyo ni sifa ambayo bwana yule hakuwa nayo.

Lakini sasa cha ajabu huyu Ngosha akifanya kile ambacho yule bwana hakuwa na mazoea ya kukifanya, naye anaishia kulaumiwa, kubezwa, na kulaaniwa eti anatengua sana teuzi zake.

Kwa kweli watu wameshavurugwa kiasi kwamba hawajui hata wakitakacho tena.

Sasa kama huyu Ngosha anamteua mtu na baadaye anakuja kuona huyo mtu anapwaya watu mlitakaje? Mlitaka amchekee chekee tu?

Hata ingekuwa mimi ndo nimekuteua halafu nakuona unapwaya kwenye hiyo nafasi natengua tu uteuzi wako. Sina kabisa muda wa kuvumilia ukadiri [mediocrity].

Ila kusema ukweli uongozi wa umma ni kazi ngumu sana. Manake ukifanya yale ambayo yalikuwa yanapigiwa makelele na watu kuwa hayafanyiki mwisho wake unaishia kulalamikiwa tu na wewe kuwa umezidi kuwa hivi na vile!

Ni kazi ambayo haina shukurani za papo kwa hapo. Na ndo maana hata rais Kikwete ambaye alidhihakiwa sana kipindi chake leo hii eti anasifiwa na hao hao walokuwa wanamdhihaki na kumwita 'dhaifu'.

Hivyo naamini ipo siku tu hata huyu Ngosha mtamkumbuka, mtamshukuru, na mtamsifu. Ni suala la muda tu.....
Tatizo anatengua alafu hawafikishwi mahakamani
 
Kwa upande wangu nadhani Magufuli hajui tatizo ni nini? Tatizo ni kubwa zaidi ya kutengua nafasi ya hiyo Katibu wa hiyo wizara
 
You people are so bankrupt of ideas that your 'best' argument is to play the tribalism card.

That ain't gonna cut it because people will see right through it that it is nothing but unadulterated BS.

So knock yourselves out with it.

Tempers or nor tempers won't change the fact that you do act tribally. Thats why you resort to "you people" in unisom without even knowing for a fact am acting alone!
 
Back
Top Bottom