Anapodai macho yangu yanamtongoza...

Anapodai macho yangu yanamtongoza...

Macho yanabeba ujumbe mwingi sana....

1. Macho ya tongozo
2. Macho ya hasira
3. Macho ya aibu
4. Macho ya wivu
5. Macho ya furaha
6. Macho ya uchunguzi
7. Macho ya umbea
8. Macho ya kutoridhishwa

Yaani kwenye macho kuna ujumbe mwingi sana, sasa ya tongozo, macho jinsi yanavyokaa kaa yanatoa msisimko fulani hivi ambayo kwa yule ambaye hajaelewa atapata picha nyingine kabisa kama vile "Inawezekana ananifananisha!" au "Mbona ananichunguza?"...kwa yule anayeelewa macho za tongozo huwa anatoa response mfano kucheka, tabasamu, au anamjibu kwa macho ya kujibu tongozo...ha ha ha ha ha ha ha dunia tamu sana!

Ni kheri umenijuza nilikuwa kipofu kwenye hili!
 
mh, emu weka picha ya macho yako hapa tujadili vizuri.

kwani yanamtongoza kila wakati kwahiyo hata nikikubandikia humu sanasana utaona ya kawaida tu mpaka mhusika anitokee ndiyo somo hugeuka.............
 
Loya acha kuwalegezea watoto wetu macho,
weye shauri lako.
 
Nakukkubali.

Saidia kufundisha form IV fasihi andishi kuhusu ushairi.

Nafikiri italeta Big Result Now;
 
barking-owl.jpg


cc Rutashubanyuma
 
Last edited by a moderator:
MadameX hayo ya bundi yanatisha lol......................afadhali ya avatar yako yana mvuto mkali!
 
MadameX hayo ya bundi yanatisha lol......................afadhali ya avatar yako yana mvuto mkali!
 
....your eyes tells everything...and it doesn't matter whether they are black, grey or blue...whether they are young or old...they will always mirror the contents of your heart.
 
....your eyes tells everything...and it doesn't matter whether they are black, grey or blue...whether they are young or old...they will always mirror the contents of your heart.

feels like an ensnared rabbit
 
kukodoa macho sana wakati unakula ugali ni ishara kwamba umebanwa na tonge
 
Back
Top Bottom