Anapodai macho yangu yanamtongoza...

Anapodai macho yangu yanamtongoza...

Macho yanabeba ujumbe mwingi sana....

1. Macho ya tongozo
2. Macho ya hasira
3. Macho ya aibu
4. Macho ya wivu
5. Macho ya furaha
6. Macho ya uchunguzi
7. Macho ya umbea
8. Macho ya kutoridhishwa

Yaani kwenye macho kuna ujumbe mwingi sana, sasa ya tongozo, macho jinsi yanavyokaa kaa yanatoa msisimko fulani hivi ambayo kwa yule ambaye hajaelewa atapata picha nyingine kabisa kama vile "Inawezekana ananifananisha!" au "Mbona ananichunguza?"...kwa yule anayeelewa macho za tongozo huwa anatoa response mfano kucheka, tabasamu, au anamjibu kwa macho ya kujibu tongozo...ha ha ha ha ha ha ha dunia tamu sana!

Yaa, macho yanaongea!
Huu ndo ugonjwa wangu mkubwaaaaa!
 
Back
Top Bottom