Hahah ujue sisi sio watu wa Football football huwa hatupendi kupoteza muda. Kwa hiyo ikitokea kama ilivyotokea kwa ndugu yangu hapo tunaita ajali kama ajali zingine.Na mimi nimeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah mzee mwenzangu kachochora vibaya.Ha ha ha
umenitisha mkuu
ZZ na wewe unavituko, nikisema kungwi utakua umefahamu au bado?Somo ndiyo nani ?? ( hebu nijuze )
Kabisa!!! Labda wawe wanafanya kila siku kuko mwanzoni!!! Ukisema upumzike wiki moja sijui mwezi... Mnaanza upyaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ujue hauzoeleki ule
Hahaha!!!View attachment 493548
sasa weweeeee, unaijua hii kitu!! ubajua matumizi yake....!!?
Anayefunda watu hasa ukanda wa pwani wanaitwa SomoSomo ndiyo nani ?? ( hebu nijuze )
hiyo ni the best soundproof, works efficiently 100%Hapana mkuu!!! Ila nimeipenda
anakaa kimya utadhani ametekwa!!Nahisi una utoto. Umwache mwanamke et kwa sababu anapiga kelele mie kama huyo ndio napenda cio mwanamke unamgegeda ye kimya tu mwisho wa cku mzuka unashuka huyo ndio mzuri