Anapiga sana makelele wakati wa tendo la ndoa

Sasa bro hata akijenga akaishi huko kwake wakija wageni itakuwaje sasa hapo?
Ni kweli ni kama shida fulani vile lakn kumbuka baadhi ya wanaume na ndevu zao wapo nao waliao kwenye hvyo gemu. Usahauri kwa mume labda nae apunguze manjonjo. Elewa fundi wa maswala haya haina tofauti na dereva mzuri akiikamata gari zuri pia, gari huwa na mvumo poooa!!
 
Afadhali wa kwako anapiga kelele,wengine wanarusha ngumi kabisa.
 
Emmyta na ikiwa wageni watakuja kwake cyo kila cku, awapeleke nyumba ya waheni ili mama atoe chakula cha bwana kama kaaaawa.
 
Hahahaaa! Nionavyo huyo mume aonyeshe kuichukia hiyo hali ili mke apate kuiacha kwasababu siku zinavyozidi kusogea familia nayo inakua kubwa na sio kwamba watakuwa wawili miaka nenda rudi.
 
Hv unaelewa mazoea ktk ndoa hupunguza hata vichocheo vinavyosaidia kutenda tendo hilo, so am sure kama ndivyo cku zinavyosonga ndvyo hata kasi yao yao ya ku - do itapungua amini nisemalo eti hata makelele ya kimwana huyo yatakuwa yanapungua pia sababu ni mazoea na majukumu ya kiamilia yatakayoupata wa-2 hao, upo?
 
Sitaki kuamini ukisemacho mkuu kwa sababu kama ni raha ndio inayompigisha makelele hata kama akija kuwa na majukumu na wakawa wamezoeana bado siku ya kile kitendo zile kelele zitakuwepo tu kwa sababu ameshajizowesha tena usipoangalia ndio zinaweza zikazidi.
 
Hapa wana sema mazoea hujenga tabia
 
Jiongeze brother, jaribu na Side B!😀😀😀
 
Wakat unamtia mtegee akianza kupiga kelele unapause kidog then unamchimba bit halaf unaendelea kumtia miti akipiga kelele unapause tena hvyohvyo mpka atazoea though ni ngumu lkn jitahid atakuja kuzoea...
Ukimwambia nje ya tendo somo halitaelewek vizur
 
Back
Top Bottom