Kama alikuwa hajauzoea basi asingekubali Kuolewa bhanaMmh mguu wa mtto hauzoeleki wanavyosema wenyewe
Hahahaa! Basi itabidi amjaze matambara mdomoni ili hizo kelele zipungue aiseeMmh mguu wa mtto hauzoeleki wanavyosema wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa! Basi itabidi amjaze matambara mdomoni ili hizo kelele zipungue aisee
Kama alikuwa hajauzoea basi asingekubali Kuolewa bhana
Huyo ni mkeo au unaishi naye kama kimada!? Maana siamini kweli kama mkeo uliyemtolea mahari unaweza kuwa na wazo la kumwacha kwa sababu ndogo kama hiyo!nimeoa muda si mrefu binti wa kitanga.toka tupo kwenye uchumba alikuwa na tabia ya kulia kwa sauti wakati wa tendo la ndoa.nilikaa naye nikamwambia hii tabia ya kulia wakati wa tendo siyo nzuri maana tukiishi kwenye nyumba ya kupanga utawakera watu .akahaidi ataiacha nikimuoa. Sasa tuna miezi minne tu tunaishi kwenye nyumba ya kupanga lakini yeye ndiyo kelele zimeongezeka hadi majirani wanalalamika wanahisi mimi labda nampiga. Nikiongeza sauti ya subwoofer au tv na yeye anazidi kupaza sauti. Nafikiria nimwache ila bado nawaza maana ana mimba ya miezi miwili.
Ni kweli sauti za kweli anakuwa kama kachoka vile ...na siyo makelele kama ile anachinjwa. Anakuwa kama vile hataki kulia lakini anajikuta inakuja yenyewe. Kwahiyo utakuta anabana kilio na lakini amashindwa kinatoka chenyewe. Basi hao asikwambie mtu..raha kwa kwenda mbele. Wenginr wanasema unavomuona mwanamke analia kama vile kumlilia kea jambo lilomtokea kama vile msiba na kilio chake cha kwei cha kimahaba hakiwi na tofauti sana akiwa sita kwa sita. Mi ni mpenzi wa kilio cha mahaba na hakuna kitu hunipagaisha kama chenyewe.kama ukizidisha Sauti ya radio nae anazidisha ni MUONGO, Na kelele za kweli huwa hazikeri zinakuwa ni za chini na sauti inakuwa imechoka sana, wengine wana act tu.
Mwanangu hajambo?Mmhhh!
Acha uvivu.Nunua subwoofer
hahahaha, wape contact address wabadilishane mkuuPole mkuu, kuna jamaa yangu yeye analalamika manzi wake huwa hatoi sauti hata kidogo yupo kimya kipindi chote cha tendo.
Vipi unataka kama wa namna hiyo?
Sasa bro hata akijenga akaishi huko kwake wakija wageni itakuwaje sasa hapo?Mie nijualo kwenye mahaba ukishikwa shikamana, na hushauriwa kujiaxhia mtu awezavyo. Kama hapigi kelele mwenyewe barabarani bali ni kwa special event huyo it's her type of reaction, so jenga kwako achana na tu-vyumba twa kupanga!!!!