Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Nina ushauri aina mbili:
1.Nunua sound proof na uweke chumbani kwako,hiyo mbinu yako ya subufer sio nzuri sana,kwani itakuwa inakera majirani zako.
2.Hiyo ni starehe yake,kama utashindwa kabisa mtafute kungwi amfunde kabisa.
1.Nunua sound proof na uweke chumbani kwako,hiyo mbinu yako ya subufer sio nzuri sana,kwani itakuwa inakera majirani zako.
2.Hiyo ni starehe yake,kama utashindwa kabisa mtafute kungwi amfunde kabisa.
Wanajukwaa,
Nimekuwa nikikosa kujiachia nipendavyo kutokana na kelele za kulia+miguno wakati tupo kwa ile 6 kwa 6, imekuwa inanilazimu nipunguze mashambulizi kwani kelele zake zinavuka mipaka mpaka hata majirani nahisi huwa wanasikia, kitendo ambacho mi sipendi watu wawe wanajua kila tunapofanya mambo yetu, imenilazimu nipange muda wa usiku sana ndipo namgegeda huku volume ya sub_woofer ikiwa juu kujaribu kubalance kelele zile, najua kidogo watu wanakuwa wamelala na ile volume inasaidia,
hali hii imekuwa ikijitokeza pale anapokaribia kufika kileleni na mimi huwa nampandisha zaidi ya mara 2, wengi wamekuwa wakiniambia nimzibe mdomo lakini mimi namuonea huruma kwa jinsi anavokuwa anahangaika.
je kuna njia nyingine mbadala zaidi ya kumziba mdomo?