Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Mweusi ngozi tu huyoNa akwende.
Mtu mweusi mwenye ushawishi duniani anayeunga mkono ushoga, amemuua Gadaffi, amekuza migogoro ya kivita nchi za kiarabu kinyume na ahadi zake anatakiwa akwende.
Ila mkuu ana watoto wakali mbaya [emoji12] tatizo na wenyewe wana uzungu mwingi kama huyu wa kwanza anayeitwa malia yaani hakajatulia kabisaMweusi ngozi tu huyo
Kuna mmasai aliwahi kukachumbiaIla mkuu ana watoto wakali mbaya [emoji12] tatizo na wenyewe wana uzungu mwingi kama huyu wa kwanza anayeitwa malia yaani hakajatulia kabisa
Teh teh si yule wa kenya?Kuna mmasai aliwahi kukachumbia
Halafu mwaka jana kulikuwa na habari ambazo zilienea sana kuwa alikuwa mjamzito baadaye zikaja zikapotea sasa sijajua kama ilikuwa ni kweli wakaifanyia manuva au zilikuwa ni propaganda tuKuna mmasai aliwahi kukachumbia
haha, jmn watu mnachunguzaa,khaaHiyo miguu ya watoto hawa imefanana na ya baba au mama?
Kwa vyovyote inawezekana kabisa ni kweli...si Malia anakula na kushiba halafu hana stress halafu kavunja ungo?Halafu mwaka jana kulikuwa na habari ambazo zilienea sana kuwa alikuwa mjamzito baadaye zikaja zikapotea sasa sijajua kama ilikuwa ni kweli wakaifanyia manuva au zilikuwa ni propaganda tu
Inawezekana ikawa kweli mkuu maana hii habari ilienea sana ila nafkiri itakuwa waliyamaliza kimya kimya siunajua tena maprezidaa walivyoKwa vyovyote inawezekana kabisa ni kweli...si Malia anakula na kushiba halafu hana stress halafu kavunja ungo?
Kwa vyovyote inawezekana kabisa ni kweli...si Malia anakula na kushiba halafu hana stress halafu kavunja ungo?
Ni utashi na maamuzi tuu halafu wajingawajinga ndio wanaokulagaHivi unakapataje haka na kukagonga mpaka kapate ujauzito....na ulinzi unao kazunguka.....