Ananivutia sana why? Nisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananivutia sana why? Nisaidie

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,683
  Trophy Points: 280
  [h=3]Ananivutia sana why?[/h]

  [​IMG] Je, mwili hufaidi kitu gani unapojihusisha na mapenzi?
  Mwili kawaida hutoa kiasi fulani cha kemikali ambazo hufanya ujisikie vizuri ukiwa kwenye mapenzi.
  Hii husaidia wewe kuwa mbunifu unayeweza kuunda vitu vipya na ndiyo maana wasanii wengi au waandishi wa vitabu pia ni watu smart kwenye suala la mapenzi (siyo wote)
  Mapenzi huweza kuzaa sex na sex huweza kubadilisha hali ya mwili kabisa kuanzia kwenye nywele kichwani hadi kwenye kucha za miguuni.
  Wataalamu wanaeleza kwamba sex husaidia sana mwili.
  Faida za sex katika mwili soma hapa

  Kama mapenzi ni kemikali kati ya mwanaume na mwanamke inakuwaje tunavutiwa na mwanaume fulani au mwanamke fulani na si kila mmoja?
  Kwa nini huwa hatuvutiwi na kila mtu ambaye tunakutana naye na kuna mwingine ukikutana naye anakuvutia kiasi cha kukuingiza majaribuni?

  Watafiti wanasema kwamba kila mmoja mwili wake hutoa (release) aina fulani ya kemikali ambayo hata pua zetu haziwezi kunusa ila Ubongo huweza na Ubongo huweza kuchambua harufu ya kemikali tofauti na ya kwako kwa mwanamke au mwanaume mwingine hasa ile yenye kiwango kikubwa cha Immune na huvutiwa nayo ndiyo maana tunavutiwa na watu wachache sana na si wote.

   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pi didi upo likizo ennh?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,683
  Trophy Points: 280
  TAHADHARI:
  Hii mada ni kwa ajili ya kupeana habari tu (ndiyo maana hakuna reference links, ingawa unaweza mwenyewe ku- Google),
  Jambo la msingi ni kwamba kuna umuhimu wa hali ya juu sana kuzingatia kwamba hapa tunazungumzia sex katika ndoa tu na si zaidi ya hapo.
  Pia ni muhimu kuzingatia kwamba ili kushiriki sex ni muhimu kuangalia afya ya mwenzi wako, maadili na kutii sheria na amri za Mungu otherwise badala ya sex kukupa afya inaweza kukuua kimwili na kiroho.

  Upendo daima!
   
 4. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Na mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo dia....................................................
   
Loading...