Ananitatiza huyu mwenzangu

Ananitatiza huyu mwenzangu

Kwa muda mliokuwa mbali inawezekana kabisa akawa na mfumo mwingine wa maisha (kakua) hivyo itakua ngumu kukuamini kwa haraka kuwa unampenda na unamhitaji hii ni kutokana na matapeli wa mapenzi. Kama ndiyo: Nenda nae taratibu ili akuamini na kukuingize katika moyo wake mwishowe utafurahi.

Pia inawezekana ana mpenzi mwingine anayempenda japo akawa haeleweki hivyo akakuweka wewe kana backup, ikitokea alipo pakashindikana basi arudishe majeshi kwako kwa akili. Hapa unatakiwa kuwa makini maana ni wachache sana wanaokiri kuwa na wenza wakati wenza hao hawaeleweki. Hivyo kuwa makini katika kumsoma kisha fanya maamuza sahihi badala ya kuumia moyoni kwani mapenzi hayakuanza leo.
 
MOve on ma nigga....alikubali kama back up plan tu lakini huo muda mlioppotezana mengi yametukia keshafika mpaka kigoma ww bado upo kimara....just let it go....
Shukrani ndugu nitajitahidi kwa hilo
 
Usipoteze muda wako kka, ana mtu wake huyo na anampenda ila mchizi dizaini ka anamzingua ndo mana akakukubalia naww coz mlikuwaga ktambo so la msingi labda mkomalie hta upige 1tym af sepa tu!

Shukrani ndugu
 
Kwa muda mliokuwa mbali inawezekana kabisa akawa na mfumo mwingine wa maisha (kakua) hivyo itakua ngumu kukuamini kwa haraka kuwa unampenda na unamhitaji hii ni kutokana na matapeli wa mapenzi. Kama ndiyo: Nenda nae taratibu ili akuamini na kukuingize katika moyo wake mwishowe utafurahi.

Pia inawezekana ana mpenzi mwingine anayempenda japo akawa haeleweki hivyo akakuweka wewe kana backup, ikitokea alipo pakashindikana basi arudishe majeshi kwako kwa akili. Hapa unatakiwa kuwa makini maana ni wachache sana wanaokiri kuwa na wenza wakati wenza hao hawaeleweki. Hivyo kuwa makini katika kumsoma kisha fanya maamuza sahihi badala ya kuumia moyoni kwani mapenzi hayakuanza leo.

Shukrani ndugu kwa ushauri wako
 
hebu uwe unamrecharge kila siku asubuhi uone itavokuwa.
 
Sikatai ila Mbona alikubali kuwa na mimi

Mkuu inamana we uwafahamu wanawake, may be alitaka uwe wa kumnunulia Vocha!!!Demu mmoja anaweza akapanga vidume hata vitatu,...Yaani wa Vocha, Wa Kuuza nae sura, Atakayemuoa.
Mapenzi ya ki Digital...ukizubaa utalia.
 
ongea nae vizuri huyo atakuwa ana mtu wake si bure
 
Mkuu inamana we uwafahamu wanawake, may be alitaka uwe wa kumnunulia Vocha!!!Demu mmoja anaweza akapanga vidume hata vitatu,...Yaani wa Vocha, Wa Kuuza nae sura, Atakayemuoa.
Mapenzi ya ki Digital...ukizubaa utalia.
Sawa ndugu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom