Unajua wadada huwa mnapenda vitu visivyowezekana at a time. Lazima akili zenu zikue na kukomaa. Imagine mimi ndo first born kwetu, wazazi wanaishi nyumba ya udôngo, nna wadogo wako chuo hawana mkopo. Nakwambia tuoane, nikatoe mahali kwenu ili tuwe pamoja ndoa tutaibariki mambo yakikaa vizuri hutaki! Eti mpaka sherehe ili rafiki zako wakuone ukiwa na shela! Haya ni matope, unajua kabisa nakupenda na hali halisi unaifahamu na bado unaendelea kunikandamiza! Kwani wangapi wameoana bila sherehe ndoa zao zina amani na maendeleo? Wazazi wangu wamenisomesha ili niwaokoe waendelee kupata shida ili tu wewe na rafiki zako mfurahi? Wadogo zangu wasisome kisa we uvae shela? Kumbukeni mke sio ndugu, ukiniletea complication siôni shida kutafuta mwingine. We uolewe na hao rafiki zako! Kuna wengine anatamani hata akatoe yeye mahali kwa mwanaume, nyie mnang'ang'ania sherehe!!