Ananipima au hanitaki?

Ananipima au hanitaki?

30 yrs dada umechelewa.ukiondoka hapo jiandae kuwa nyumba ndogo ya lizee
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.

Umethibitishwa na TBS? Huo ndio wasi wasi wa jamaa yako maana siku hizi kila kitu mchina keshaharibu!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom