Ananipima au hanitaki?

Ananipima au hanitaki?

Aliccia

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Heshima kwenu wanajamvi.

Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.
 
nikusaidie tu kwa huyo shela huvai na mtoto hupati.......amesha kustukia umekomaa hustahili hiyo sasa bora ionekane ulishazaa then mpashre kiporo
 
labda nikuulize, mmekuwa kwenye uhusiano kwa miaka mingapi? Ameshatoa mahali au kujitambulisha kwenu? Huu ndo ujinga wanaofikiria wadada wa siku hizi. Wanachowaza wao ni kuvaa mashela tu huku hata kupika hawawezi. Na siku hizi tumewastukia. Mambo ya kusupp ndoa hatuyataki tena. Tunaoana kimya kimya, kama hufai tunaachana kimya kimya. Na ukichelewa hapo visichana vidogo vinakupora huyo mwanaume. Bora mi nimeshaanza kugandwa ili nimpe mimba..
 
Tafuta kitu kingine ulazimishe!
Ndoa hailazimishwi! Oohooo!
 
Hakutaki uyo bidada......angalia mambo yako kama umepangiwa kuolewa utaolewa tu

Tulia muombe Mungu utapata chaguo lako
 
Mpaka napata hasira kukoment,,,, kwenye uhusiano lazima ujue upo katika kundi gani????
 
Kwanza ulishaharibu. Mwanaume uliyetarajia ufunge naye ndoa haukutakiwa ufanye naye mapenzi. Labda kama siyo ndoa ya kikristo
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.

ungekuwa ulimkatalia kukuchungulia katikati ya mapaja yako asingekuwa na kiburi cha kukulazimisha umzalie mtoto kabla ya ndoa. ameikinai papuchi yako bidada. sijui yeye ana umri gani lakini anajua kwa umri wako utajikomba tu kwake. sijui utagegedwa na wachumba wangapi kabla ya kuolewa. kama umechoka achana naye, tafuta mwingine akugegedeeeeee hadi akukinai halafu mwisho akuambie hakutaki. "life is not a rehearsal..." mrisho mpoto
 
hili ndio tatizo kubwa la watoto wa kike,akisikia ndoa hata na kichaa ataolewa ilimladi avae shela.....
 
Usilazimishe ndoa! Ndio maana jamaa hakuelewi elewi,na inawezekana tabia yako inamkera 'Miss Complicator' umri unaenda huo jipange upya
 
Kwa kifupi tu ni kwamba ukishapata naye mtoto suala la ndoa sahau na ndio mwanzo wa kupoteza uelekeo wa maisha yako...
 
ah hivi wanaume wa siku hizi hii tabia ya kumtia mimba mwanamke ndio umuoe imekuwa fashion? so fair kabisa yaani. wanawake nanyi ebu acheni kuendekeza ujinga huo. wee komaa tuu...hapa hapatikani mtoto mpaka unioe hitaki kula go.
 
Pole sana bidada,kuna wanaume hawapendi sherehe,yani yeye kuwa mbele ya watu aangaliwe na pia garama za harusi anaona ni kubwa.Hebu muulize mpenzi wako kinachofanya akatae ni nn? Ukimulza vzr kwa nn swala la ndoa halitaki kwa upole atakueleza tu kama nimuelewa.
 
Na pia akiolewa nae baada ya kumlazimisha sana, Mungu asipowajaalia mtoto ajue ndoa hakuna tena. Inshort huyo mwanaume hafai kwa sababu ni mbinafsi sana. Ile tabia ya kusema hakuna kufunga ndoa hadi tupate kuwe na kamimba ni ya kishenzy kabisa.
Kwa kifupi tu ni kwamba ukishapata naye mtoto suala la ndoa sahau na ndio mwanzo wa kupoteza uelekeo wa maisha yako...
 
Pole dada angu, at that age najua upo desperate; ila kitu moja jifunze kustand alone and fight for your happiness, hawa viumbe ukimpa hili anataka lile ukimpa lile anataka hili, dawa yao ni kuwa na uwezo wa kusimama mwenyewe, na kamwe usimwonyeshe kuwa upo desperate usipende kufanikisha mambo kwa kuhurumiwa bali kwa kuhold a fight, pole sana!
 
Huyo anakutaftia visa uckute ashapata vichunchude vingne pembeni kama mume mwema hawez lazimisha eti mpk uzae hayo si mapenzi mrembo utaishia kuzaa kuolewa ataenda olewa mwingne hawana maana hata uwagonokee kama hakutaki hakutaki tu yan
 
Sheria ya kiislamu inasema,mzinifu wa kike haolewi isipokuwa na mzinifu wa kiume mwenzake na imeharamishwa kuoa mzinifu kwa muumini swafi
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.

Mwambie ndoa kwanza watoto watakuja tu Mungu akijaalia!
Ana lake jambo huyo,ukizaa akaja wa kike atakwambia alitaka wa kiume na akija wa kiume atataka wa kike.
Wewe uko nae unamjua zaidi ila mi nahisi hata mkizaa na akaja kukuoa atakusumbua kwa demands za ajabu ajabu
 
Unajua wadada huwa mnapenda vitu visivyowezekana at a time. Lazima akili zenu zikue na kukomaa. Imagine mimi ndo first born kwetu, wazazi wanaishi nyumba ya udôngo, nna wadogo wako chuo hawana mkopo. Nakwambia tuoane, nikatoe mahali kwenu ili tuwe pamoja ndoa tutaibariki mambo yakikaa vizuri hutaki! Eti mpaka sherehe ili rafiki zako wakuone ukiwa na shela! Haya ni matope, unajua kabisa nakupenda na hali halisi unaifahamu na bado unaendelea kunikandamiza! Kwani wangapi wameoana bila sherehe ndoa zao zina amani na maendeleo? Wazazi wangu wamenisomesha ili niwaokoe waendelee kupata shida ili tu wewe na rafiki zako mfurahi? Wadogo zangu wasisome kisa we uvae shela? Kumbukeni mke sio ndugu, ukiniletea complication siôni shida kutafuta mwingine. We uolewe na hao rafiki zako! Kuna wengine anatamani hata akatoe yeye mahali kwa mwanaume, nyie mnang'ang'ania sherehe!!
 
Mwambie ndoa kwanza watoto watakuja tu Mungu akijaalia!
Ana lake jambo huyo,ukizaa akaja wa kike atakwambia alitaka wa kiume na akija wa kiume atataka wa kike.
Wewe uko nae unamjua zaidi ila mi nahisi hata mkizaa na akaja kukuoa atakusumbua kwa demands za ajabu ajabu

Labda tuanze na definitiôn ya ndoa ili watu waelewe. Ndoa sio kuvaa shela jamani! Ni more than that! Mpaka sasa nilichoshuhudia kwenye kila harusi 10 za wanaochoma michango yetu 6 zinaparaganyika ndani ya miaka miwili. Ndo lengo la kuvaa shela? Au lengo la wanawake ni kuambiwa tu "harusi yake ilikuwa bab kubwa!" bila kujalisha atadumu nayo kwa muda gani? Inabidi jamii ijipange upya na haya matukio yaliyokosa mwelekeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom