Ananipenda, ila moyo wangu wala haumfikirii

Mkuu kwa mazingira uliyomjengea hapo hajui kama una mke. Ni bora tu ukamwambia mapema akajua ili asiendelee kujiumiza maana mwisho wa siku ataumia. Mwambie tu ukweli na pia usimpe uhuru mpk wa kukufulia nguo zako.
 
uyo anakuseti ukae sawa angalia sana maana ukijichanganya muda c mrefu atakutia kambani na kutoka itakua ngumu sana..unaweza ukaharibu maisha yako kabisaaa......wanawake wa makazini hum ni wajanja sanana wana mipango sana na maisha yao huwa hawafanyi vitu bila sababu kabisa labda awe mke wa mtulakin km yuko single daah ni hatari mno
 
Wewe mbaya sana hunasema huku wakati unaendelea kuenjoy fruit za labour za mwenzako..mwambie ukweli it seems una enjoy huduma tu.na hivi mkeo yuko mbali...jaman wadada msitoe Huduma kwa wanaume ona sasa kumbe anajicholesha tu
 
Sasa unajuliza moyo wako haukubali tena??

Kwasababu una mke ndio maana moyo wako unakuwa mzito

Shukuru kwa hilo na omba uendelee kuwa na moyo huo huo
Lakini pamoja na kuwa hamkubali alishamgegeda huyo mdada wa watu.... ukishaalikwa dinner, baada ya kumaliza lazima na kamgegedo kadogo kafuatie...
 
Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.

Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.

Amekuwa akinitumia msg ambazo 100%zinaonesha kuwa anahitaji tuwe ktk uhusiano wa kimapenzi. Hatoki kazini bila kunipitia. Na nikimwambia labda nipo bize, lazima atanisubiri.

Weekend, hupenda kunikaribisha kwake hasa kwa ajili ya dinner. Na ikitokea sijaenda, lazima aniletee. Na sometimes, huwa anataka nimpe nguo zangu anifulie na kuzipiga pasi. Nilimpa mara moja tu nguo za kufua.

Si hivyo tu, bali amekuwa akinitumia meseji au kunipigia simu, KESHO NAOMBA UVAE NGUO FULANI..

Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?

Nifanyaje?

*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.
Mkuu huyo ndio anakuja kuharibu maisha ya watoto wako. Kama haujali mpitie tu lakini ukweli ni kuwa atakuvurugia familia yako na malezi ya watoto wako.
 
Ni vizuri tuifanye dunia hii kuwa sehemu salama zaidi ya kuishi kwa kuwa wakweli.

Mwambie una mke.
 
Sidhani Kama Mwanaume Mwenye Familia anaweza kuuliza Ushauri kama huu,Ina mana hujui kabisa cha kufanya??
 
Kama ungekuwa mwanaume basi either ungekuwa ushamwambia kuwa ulishaoa au kuanzisha uhusiano nae wa kimapenzi
Mbali na hapo mi naona kuwa unamsingizia tu dada wa watu kwa nia yake njema ya kukusaidia kama kaka yake maana labda anajua upo single na unapata shida kupika na kufua
 
Ukitaka umpende mwanamke mkabidhi idara ya jikoni,utaingia line hata kama huyo mwanamke siyo type yako.

USHAURI :
Sikiliza moyo wako,heshimu ndoa yako...huyo mwanamke ni mchepukaji na ana hila,ndo mana moyo wako u mzito
 
Mwanamke akupkie ule, akufulie nguo, bado unakubali na asikutie kambani huyo atakuwa hajaaga kwao, hv mnajua kuwa 90% wanawake hufanya kila liwezekanalo kumpata mwanamme amtakaye hata kwa ushirikna? Nguo,chakula hutoki mkuu, aidha ujtambue mapema na uache ushrkiano Mara 1,

Mfano mm wakat npo adv. Nilikuwa na mchumba wangu tena pale pale shule, ila akawepo mdada ananipenda sana, alikua akitaka anifulie, ananiletea chakula(wali na nyama kuku sana), zawadi nk na anajua nipo na Fulani lakn hajali na anaonesha kuwa yy ni rafk tu,

Ila mchumba wangu alikuwa hajui, ikafika muda nikamuona anafaa kuliko mchumba wangu, cku 1 nikatofautiana kidogo na mchumba wangu, kumbe kajua bwana, kaniomba anitoe out kama town leave bwana, hukohuko nikataka nipunguze makali kama nilichelewa vile!

Nikaambiwa kuanzia leo ndoto zangu zimetimia, nahuyo mchumba wako naomba umuache nikamwambia stak ujinga,

Kilichofata alienda kumwambia na kugombana MPAKA ikafkia kuachana nae kwel na yy kumuacha lakn akawa amesambalatisha kila kitu,

Nafkr umejfnza kitu kptia historia yangu! Ukigonga tu hyo ndo atakuharbia familia na kukgombanisha na mkeo! Kitachofata ni aibu.......hawa wanawake hawaishi mkuu, Fanya mpango uwe karb na familia yako!
 
Anafahamu hilo. Kimsingi nimeongea nae mengi sana.

Anafahamu hadi idadi ya kids nilionao
Kama mke ulienae anakuheshimu basi usimvunjie heshima lakini kama mkeo hakuheshimu na anakuchukulia poa tu,kamata fursa twenzetu mwanangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom