Mkuu, swali zuri maana juzi tu demu kanifanyia hivyo hivyo.....na huyu ni mtasha sasa nilipomuuliza asubuhi akaomba msamaha sana, maana hakumbuki kama alifanya hivyo..! Ila huyu alikuwa anajifanya mjanja sana, na nilipopata nafasi, nimeitumia vilivyo, na kuna wakati alikuwa anaongea kama kichina au kijapani, ingawa anasema wala hajui lugha hizo..!! Ametubu kuwa waafrika moto wa kuotea mbali....na sasa rafikize naona wanaulizia sana kama nina jamaa nawajua ambao wapo free....................
oya mi ni dokta huo ni ugonjwa tuwasiliane haraka sana umlete akae kwenye klinik yangu kwa mda wa siku 2 atakuwa amepona...
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
Hahahaha mkuu hii L inaelekea kwenye ukweli kha!
fidel bwana utamuu huo,unajua mtu akifika kilele anaweza kuwa kichaa! oooh ni sayari nyingine hiyo isiyoexist hata kwenye solar system
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?[/QUOTE]
watakuwa utitiri!
hivi wewe ni mnyalu?mbona umeongea neno la kibena kabisa?
Hapana mimi sio mnyalu, utakumbuka mwalimu Nyerere alilitumia sana hili neno akionyesha kushangazwa na wingi wa vyama vya upinzani.
Unakuwa unafanya nini mpaka unag'atwa miguuni Fidel80 wewee???Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika kipindi ananing'ata sasa sielewi ni nn hii wadau.......
Unakuwa unafanya nini mpaka unag'atwa miguuni Fidel80 wewee???
Fidel niambie mkuu,
Ni yupi kati ya yule mwenye mimba yako au mkeo wa ndoa?
We nawe kwa kukwapuaga! mademu wako wote wana visaHahahaha utamu mpaka kisogoni? Au utamu wa kujing'ata ulimi dah nina makovu balaa.
Fidel utanisamehe lakini siwezi kuacha kuuliza hivi huyu mrembo ni yule uliyemtoa kwenye ile thread yako unayouliza kama mimba ni yako au ni mwingine tena? Maana kule unasema ulishaacha hii issue sasa ni vipi au hawa warembo unao utitiri?
......Hahaha Fidel anasema yeye ana Anti-Virus soft ware!! lolKwaMtaji huu, Takwimu za gonjwa hili baya (UKIMWI) lazima zitazidi kuongezeka kwa jinsi watu wanavyojipongeza na kuchekelea meno meupe bila uhoga katika mambo haya ya Ngono/ufuska na Zinaa
kwa ujumla.
Hakika hakuna kushiba na wala hakuna bingwa katika maswala ya
Ngono/ufuska au zinaa., MUNGU ameweka gharika yake katika mambo hayo ndio huu "Moto" UKIMWI.
Na wale wote wenye kuabudu na kushabikia Ngono/ufuska na zinaa,
MTAHANGAMIA.
Angalia alama za nyakati kuanzia kizazi cha NUHU,LUTU na hadi kizazi
hiki cha sasa utaona jinsi MUNGU anavyochukizwa sana na dhambi hii.