Ananilazimisha nimtongoze binti yake mlokole

Kwenye soccer watu kam nyie ndo tunawaitaga ma'striker uchwara.... Mtu ushaletewa pande mwololoooo tena ndan ya 6 bdo unalitafuta goli.... Acha falsafa zako za kizaman kam mzee wenger.... Mwisho wa cku watakuja wenye akili watakupiku n bdo utarud humu tena uombe ushauri.... wallah ntakuona mngese tu kam c vngine..... n kam vp ucpoteze mda, achia wengine watukutu wapite nae!
 
Kila kizuri kula na nduguyo njoo pm nipe namba zako tuyajenge ikiwezekana twende wawili ili wewe uchukue mmoja na Mimi mmoja maana inaonekana huyo mama anataka watoto wake waolewe . njoo pm
 
Pakua application ya Mama afu ndo basi ataacha hizo hbr
 
Hzi bahati mbona mm sipatagi jamani
 
Unae mchumba wako tayari? Kama ndio think twice
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…