Ananikera hiki kitabia cha shagalabagala

Yani nikishagundua mwanamke ni mchafu tu,huwa hata sitaman kuwa na mazoea nae.
 
Five years of relationship??? Unamsomea nn mwenzio?? Sema nae atakuelewa Tu ILA fanya haraka umuoe

Si msomei... naona umeshangaa naku shangaa kabisa, plan zipo
 

Tuna tembeleana, yeye mwenyewe anajua jinsi nilivyo msafi kwaio akija kwangu anakuta vitu viko kwenye mpangilio mpaka ana duwaa, mpaka majaaliwa kuoana
 
Kabila hilo ndvyo walivyo, hapo usihangike hata kutafuta ushauri chagua moja kuvumilia tabia hiyo au kupiga chini mzigo.

Cwezi vumilia nilazima abadilike huyu tena mikononi mwangu... ili baadae huko aje akumbuke bila mm pengine hicho kijitabia asinge kiacha. Am tryan making history on her...
 
Mambo mengine kuvumiliana, na kupiga kelele bila kuchoka
Mdogo mdogo mtafafika. Kila Mtu na mapungufu yake, na wewe kuna tabia zako zingine hazipendi lakini hakuambii anakuvumilia. Ndo maisha
 
Miaka mitano yote yupo hivo au kaanza juzi

Zamani alikua kama ana jijali hivi mpaka niki muona namtamani yani... muda wote alikua smart kwake niki enda kusafi... yeye mwenyewe msafi ila ghafla nikaona kama mabadiliko.
 
Mm nawajua hao bandugu, kwanza mm mwenyewe ni mhanga hivyo naeleza kitu ninachokijua. Hawabadiliki ng'o utafula hadi ukome utaongea hadi uonekane unagubu lakini kubadilika sahau.
 
Tuna tembeleana, yeye mwenyewe anajua jinsi nilivyo msafi kwaio akija kwangu anakuta vitu viko kwenye mpangilio mpaka ana duwaa, mpaka majaaliwa kuoana

Duuuuh! Pole sana mkuu!
Endelea kumpa darasa aelewe vizur vyako!
Kila la kher
 
Zamani alikua kama ana jijali hivi mpaka niki muona namtamani yani... muda wote alikua smart kwake niki enda kusafi... yeye mwenyewe msafi ila ghafla nikaona kama mabadiliko.

Basi zamani alikua anapretend, anaficha makucha....alivo sasa ndio tabia yake halisi
 

mahusiano ndani ya miaka 5??unamsoma tabia au unasomea udaktari???above all kama umeweza kukaa nae miaka 5 na umeshindwa kumbadilisha then mimi sina cha kukushauri,labda wengine wataweza
 
 
amesha kuchoka.... miaka mitano relationship? wacha kuendekeza zinaa Mkuu OAAAAAAAAAAAA...
 
Kwamba uko disorganized? I don't trust well organized brotha-men. 9 outta 10 wana matatizo somewhere.

Wanawake ndio wanatakiwa kuwa wasafi 10/10. Ni kitu wanazaliwa nayo. Huwezi kumfundisha mwanamke kuwa msafi.

Kuna ile unatoka job ukivua nguo unaiacha hapo hapo ulipovulia, soksi inapotea moja moja kwa sababu unaziweka bila mpango, ukitaka kula ukichukua sahani ukakaa sehemu unaiacha hapo hapo unaendelea na mishe zako.

Sasa wife alilalamika sana mwanzoni, ameshatenga kisehemu cha nguo chafu, cha kuweka vyombo ukimaliza kula, cha kutundika soksi zilizovuliwa, sijui chupi etc etc. Nikifanya kwa siku mbili tu naona kero, utaratibu una resume kama mwanzo.

Baadae ilifikia yeye mwenyewe ndo inabidi ajue nimeweka wapi ili apeleke mahali husika na maisha yanaendelea vizuri baada ya kuzoeana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…