Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,208
dah! yani story yako ni kama ya mdogo wangu alidanganywa hivohivo tulimkanya hakusikia na ilamua kuondoka nyumban yaani yaliyomkuta anajuta sasa hiv yani watoto kama nyie mnauzi sana dah! ngoja nikae kimya nisije nikatukana