kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Wakuu kama kichwa cha Uzi unavyoeleza nisaidieni nisije jutia uwamuzi wangu Wakuu Maana simu izi Daaah.
Kwa iyo unanishauri nichukue AuKuwa makini usije ukapewa simu mbovu mkuu
inategemea na kama umeipenda simu na je umeridhia, kama hujaridhia na hujaipenda simu nakushauri usiichukue baki na simu yakoKwa iyo unanishauri nichukue Au
Nilitumia Nokia,Siemens,Sonny,LG as well as Tecno zoteee ila Infinix ni mwisho wa matatizo kabisa.Chukua infinix tumia fursa km JOKA LA MAKENGEZAWakuu kama kichwa cha Uzi unavyoeleza nisaidieni nisije jutia uwamuzi wangu Wakuu Maana simu izi Daaah.
HahahaNilitumia Nokia,Siemens,Sonny,LG as well as Tecno zoteee ila Infinix ni mwisho wa matatizo kabisa.Chukua infinix tumia fursa km JOKA LA MAKENGEZA
Mkuu Mimi infinix yangu inatumia msaa mengi sana kujaa kama matano hivi. Halafu wakati mwingine nikikonekti chaja inaweza kukaa hat dk 5 kabla haijasoma,mini laweza kuwa tatizo? Tushauriane ndugu.Nilitumia Nokia,Siemens,Sonny,LG as well as Tecno zoteee ila Infinix ni mwisho wa matatizo kabisa.Chukua infinix tumia fursa km JOKA LA MAKENGEZA
Hahaha mkuu umefanya utafiti Au ndo unabifu na infinixIla ujue zote ni kampuni moja hizo walichofanya tekno ni kubadilisha jina tu