Ananiambia tubadilishane simu yeye anipe infinix Mimi nimpe tecno N8 wadau nikubali ?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakuu kama kichwa cha Uzi unavyoeleza nisaidieni nisije jutia uwamuzi wangu Wakuu Maana simu izi Daaah.
 
Wakuu kama kichwa cha Uzi unavyoeleza nisaidieni nisije jutia uwamuzi wangu Wakuu Maana simu izi Daaah.
Nilitumia Nokia,Siemens,Sonny,LG as well as Tecno zoteee ila Infinix ni mwisho wa matatizo kabisa.Chukua infinix tumia fursa km JOKA LA MAKENGEZA
 
Nilitumia Nokia,Siemens,Sonny,LG as well as Tecno zoteee ila Infinix ni mwisho wa matatizo kabisa.Chukua infinix tumia fursa km JOKA LA MAKENGEZA
Mkuu Mimi infinix yangu inatumia msaa mengi sana kujaa kama matano hivi. Halafu wakati mwingine nikikonekti chaja inaweza kukaa hat dk 5 kabla haijasoma,mini laweza kuwa tatizo? Tushauriane ndugu.
 
Ila ujue zote ni kampuni moja hizo walichofanya tekno ni kubadilisha jina tu
 
Back
Top Bottom