Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
Ama kweli mambo mengine ni ya kukitakia
Ndo madhara ya kuchepukachepuka, unamchumba bado wagawa kitumbua, awe tayari kudharirika na kuteseka toka kwa mumewe wa ndoa, DNA inamuita na siri imefichukaHabar wanajamvi, nadhan mambo yanaenda vyema! Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu. Kanieleza tatzo lake nimeshndwa jins ya kumsaidia nikaona nijaribu kushare nanyi nipate chochote chakumsaidia! Haya wandugu mkasa wenyew upo hvi., bidada ni mfanyakaz muajiriwa ktk kampun fulan na ni mke wa mtu pia amebarikiwa kupata watoto watatu wote ni mapacha. Sasa kabla hajaolewa alikuwa na boyfriend wake ambae kwa kpnd hcho alikuwa na maisha duni ukilinganisha na hali ya bibie na mumewe. Wakt huo anadate na huyo jamaa pia wapo ktk uchumb na mumew, bibie akafunga ndoa after1year akiwa tayar mjamzto. Akajipatia hao twins wake watat, mabint wawil na njemba mmoja. Huyo njemb kafanana sana na mumew jambo amblo shem anafurah sana. Watot mpk sasa wana miaka mi4, kashesh limeibuka juz, jamaa yule wa zaman anadai watot ni wake na ukiangalia kwa mbal wanafanana, jamaa amekuwa mkali anataka watot wake yani amempa bidada cku mbili ampe jibu watoto ni wanani? Mumew anampenda sana na ni anajali sana family. Anawapenda watot wake hatare yan walipozaliwa tu shem aliomb likzo kazn ili alee watoto wake kwanza. Sasa bibie amechanganykiwa hajui afanyeje na anamuogopa mumewe!! Hapo naomb tumsaidie mawazo. Yupo humuhumu! Nawasilisha....
Teh
upande mume upande mchepuko!!!!
Kwakweli wanawake wanatabu na wanadanganywa kupita kiasi
Habar wanajamvi, nadhan mambo yanaenda vyema! Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu. Kanieleza tatzo lake nimeshndwa jins ya kumsaidia nikaona nijaribu kushare nanyi nipate chochote chakumsaidia! Haya wandugu mkasa wenyew upo hvi., bidada ni mfanyakaz muajiriwa ktk kampun fulan na ni mke wa mtu pia amebarikiwa kupata watoto watatu wote ni mapacha. Sasa kabla hajaolewa alikuwa na boyfriend wake ambae kwa kpnd hcho alikuwa na maisha duni ukilinganisha na hali ya bibie na mumewe. Wakt huo anadate na huyo jamaa pia wapo ktk uchumb na mumew, bibie akafunga ndoa after1year akiwa tayar mjamzto. Akajipatia hao twins wake watat, mabint wawil na njemba mmoja. Huyo njemb kafanana sana na mumew jambo amblo shem anafurah sana. Watot mpk sasa wana miaka mi4, kashesh limeibuka juz, jamaa yule wa zaman anadai watot ni wake na ukiangalia kwa mbal wanafanana, jamaa amekuwa mkali anataka watot wake yani amempa bidada cku mbili ampe jibu watoto ni wanani? Mumew anampenda sana na ni anajali sana family. Anawapenda watot wake hatare yan walipozaliwa tu shem aliomb likzo kazn ili alee watoto wake kwanza. Sasa bibie amechanganykiwa hajui afanyeje na anamuogopa mumewe!! Hapo naomb tumsaidie mawazo. Yupo humuhumu! Nawasilisha....
Habar wanajamvi, nadhan mambo yanaenda vyema! Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu. Kanieleza tatzo lake nimeshndwa jins ya kumsaidia nikaona nijaribu kushare nanyi nipate chochote uchakumsaidia! Haya wandugu mkasa wenyew upo hvi., bidada ni mfanyakaz muajiriwa ktk kampun fulan na ni mke wa mtu pia amebarikiwa kupata watoto watatu wote ni mapacha. Sasa kabla hajaolewa alikuwa na boyfriend wake ambae kwa kpnd hcho alikuwa na maisha duni ukilinganisha na hali ya bibie na mumewe. Wakt huo anadate na huyo jamaa pia wapo ktk uchumb na mumew, bibie akafunga ndoa after1year akiwa tayar mjamzto. Akajipatia hao twins wake watat, mabint wawil na njemba mmoja. Huyo njemb kafanana sana na mumew jambo amblo shem anafurah sana. Watot mpk sasa wana miaka mi4, kashesh limeibuka juz, jamaa yule wa zaman anadai watot ni wake na ukiangalia kwa mbal wanafanana, jamaa amekuwa mkali anataka watot wake yani amempa bidada cku mbili ampe jibu watoto ni wanani? Mumew anampenda sana na ni anajali sana family. Anawapenda watot wake hatare yan walipozaliwa tu shem aliomb likzo kazn ili alee watoto wake kwanza. Sasa bibie amechanganykiwa hajui afanyeje na anamuogopa mumewe!! Hapo naomb tumsaidie mawazo. Yupo humuhumu! Nawasilisha....
Mmmhhh
Hapana huu ni upumbavu
Ww una mtu ambae yupo committed halafu hyo wa pembeni wa nn?
Haya mbaya zaid bila kinga?
....kila kitu narudia tena kila kitu kinachofanyika(dhambi) lzm mhusika ailipie watu huwa hawaelewi somtym wanapokutwa na majanga wanasahau waliyoyafanya nyuma huko!....unless umeomba toba/rehema kwa Mungu ! She has to pay the price.dhambi=mauti, ndo hayo ss!...
Yaani kaniudhi (km ni kweli)
Wamegawana eti ehhh!!Sipatii picha sura za hao watoto! Wamefanana na mume wa ndoa na pia wamefanana na mchepuko! Khaaa.....
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Ubaya wa mapacha wasiofanana wanaweza kuwa na baba tofauti na mimba zimetungwa mayai tofauti na muda wa kutungwa mimba umepishana.:-(
Habari wanajamvi,
nadhani mambo yanaenda vyema.
Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea
nyumbani kwangu.
Kanieleza tatizo lake nimeshndwa jinsi ya kumsaidia nikaona nijaribu
kushare nanyi nipate chochote chakumsaidia.
Haya wandugu mkasa wenyewe upo hivi, bidada ni mfanyakazi muajiriwa
katika kampuni fulani na ni mke wa mtu pia amebarikiwa kupata watoto
watatu wote ni mapacha.
Sasa kabla hajaolewa alikuwa na boyfriend wake ambae kwa kipindi hicho
alikuwa na maisha duni ukilinganisha na hali ya bibie na mumewe.
Wakati huo anadate na huyo jamaa pia wapo katika uchumba na mumewe,
bibie akafunga ndoa after 1year akiwa tayari mjamzito.
Akajipatia hao twins wake watatu, mabinti wawili na njemba mmoja.
Huyo njemba kafanana sana na mumewe jambo ambalo shemu anafurahi sana.
Watoto mpaka sasa wana miaka minne, kasheshe limeibuka juzi, jamaa yule
wa zamani anadai watoto ni wake na ukiangalia kwa mbali wanafanana,
jamaa amekuwa mkali anataka watoto wake yaani amempa bidada siku mbili
ampe jibu watoto ni wanani?
Mumewe anampenda sana na anajali sana family.
Anawapenda watoto wake hatari yaani walipozaliwa tu shemu aliomba
likizo kazini ili alee watoto wake kwanza.
Sasa bibie amechanganykiwa hajui afanyeje na anamuogopa mumewe.
Hapo naomba tumsaidie mawazo.
Yupo humuhumu.
Nawasilisha.