Jestina Ndiyo maana naku-adore!ukute hajui kugawa dozi,anajua kutoa kipigo tu ndio maana mama wa watu anatoka kutafuta mapenzi....
ila mie kila nikisoma topic za humu,nahisi utakuwa mgonjwa kuingia kwenye ndoa,wote hatufai si wanaume si wanawake,huyo anataka kutoka na mama mkwe wake na nyengine mavi yashanza kuleak....kama sio mabalaa ni nini...? kila mtu abaki kivyake tuendeleze taifa lol
Ingawa kupigana hadharani siyo vizuri,lakini kwa haraka haraka kuna usaliti hapo.Inaonekana mwanamme alishagundua huo mchezo.
Wakati mwingine wanawake wanashawishi kupiga ujue...hua nikipandwa na hasira sana nampiga my wife wangu kwa upande wa kanga mpyaaa
Mbona wanaume wakifanya USALITI hawapigwi?? Huishia tu kutaka msamaha na maneno MATAMTAM!! mshaona wanawake ni sehemu yenu ya kufanyia mazoezi eeee??
MWANAMKE NAYE MTU! kama kakukera sana si umwache huangalie na pengine!!
safi sana...jamaa kafanya kweli. mie nashangaa sana wanaume hivi mnawezaje watrust hawa wanawake na kuwaweka ndani kabisa? arrggg mambo mengine vidume mnajitakiaga tuu. wee gegeda alafu sepa no drama za kijinga kama hizi...mnaniboa sana
Wewe usiniletee stress zako hapa,ni hivi huyo mwanamke alistahili kipondo!!
mimi na wewe nani ana -stress!!!
mkuu hii mistari umeisoma kitabu gani!!nataka niwe na mm naitumia!!Kuondoka ilikua ni wajibu wangu sababu ya kwanza nilikua nipo kazini pili jamaa ni mke wake dini inanibana kumuingilia hasa nilipokumbuka maneni ya mungu yasemayo
"Na wake zenu wakikufanyieni makosa wakanyeni wasipowasikia basi wahameni vitanda ,wasipokusikieni basi wapigeni ila pigo lenyewe lisiwe lenye kuwaumiza na wasipokusikieni waiteni mtu 1 upande wa mume na 1 upande wa mwanamke na mkitaka suluhu basi mungu yupo pamoja nanyi"
Kwa maelezo hayo ni lazima niyatie akilini nikashindwa ila pia nilihofu kama jamaa anawasiwasi wa kua mke wake anamuendea kinyume ningeshiriki basi angenituhumu kua mimi ndio ninaemchukua kwa nn nimtetee ilihali simjui hali ya kuwindana kwa mapanga na katika mtaa anaokaa ndio palipo na standi ya daladala yangu
OK,nimekuelewa endelea kumsaliti mme/hawara wako/yako mama.Sina ugomvi na wewe!
Haitakaa itokee ndugu yangu kwa nitakae jaaliwa na Mwenyeenzi-Mungu
Hongera sana,ila kwa huyo msaliti kipondo halali yake.
Na wewe ukimsaliti mkeo/gf wako KIPONDO halai yako!!
Narudia tena anaesaliti adhabu halali yake.Adhabu inategemeana na maamuzi ya mtoa adhabu.Hujawahi kuona wanaume wanapondwa na wake zao???
Kubonda ndiyo solution?? kwanini usimwache asepe zake!!
Mumeo/mkeo anayetoka nje ya ndoa (saliti) HANA MAPENZI NA WEWE
Kuna sehemu nimesema inategemeana na maamuzi ya mtoa adhabu.Mwingine kipondo kwanza mengine yatafuata!!