Anampigaa mke wake barabarani hadi damu zamwagika.........

Anampigaa mke wake barabarani hadi damu zamwagika.........

Tena usingeangalia nyuma. Toa kipigo kwenda mbele. Hiko kidemu kilikua na kosa ndo mana jamaa alimshushia kipigo. Na mngejidai kuingilia tu angewasuspect kuwa nyie ndo mmemuibia.

Haujajua nawe siku gani utashushiwa kipigo!
 
Mola aliyetuumba, hutusamehe makosa yetu!! Nasi tusamehane kwa yale tunayokoseana kama yashindikana basi kila mtu akae kivyake

Wakati mwingine kipondo muhimu,msamaha utafuata baadae!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom