Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

Kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada sio kwa ushauri. Angekuwa kule kijijini kwetu wanakooa 'suria', tungejipanga tukambeba tukapeleka kwa huyo bwana mpya. Akishughuliwa hadi asubuhi anakuwa mpole...
 
hahhahaha leo aminata utajuta kuleta hii mada yako hapa..utajuta na sijui utamwambiaje huyo rafiki yako mwe!![/QUkupenda kubaya hu
jui tu au hujawai kupenda we ivuga ne akimuacha akiwa na huyo brand new na yy kumbe yuko ivoivo yy atajuaje sasa kama huyo brand new ndio mr right guy..................huoni ka yy anaogopa kuingia chaka tena mana waongo hawako na alama ili umujue fasta na kumtemela mbali ndio mana yuko dilema
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali sasa
 
Ni kwa sababu nawahurumia sana binadamu wanaokosa self realization and awareness.......yaani hawajijui wao ni kina nani, wanahitaji nini na wanapaswa kufanya nini!! Hawajui kuwa wanadeserve happiness katika maisha yao! Dah!
aminata huwezi kuisahau JF katika maisha yako
 
hahhahaha leo aminata utajuta kuleta hii mada yako hapa..utajuta na sijui utamwambiaje huyo rafiki yako mwe!![/QUkupenda kubaya hu
jui tu au hujawai kupenda we ivuga ne akimuacha akiwa na huyo brand new na yy kumbe yuko ivoivo yy atajuaje sasa kama huyo brand new ndio mr right guy..................huoni ka yy anaogopa kuingia chaka tena mana waongo hawako na alama ili umujue fasta na kumtemela mbali ndio mana yuko dilema
brand new yuko makini ..na unatakiwa umn'gan'ganie haswaaaa bila kuchelewa chukua hatua haralka sana
 
ina mana akiamua kukaa na huyo mtu
hadi anakufa wao ni zambi wanapata hata kama wakitubu na kumrudia muumba wao

watubu kwa staili gani??? kumbuka yule atakaeachwa daima atakuwa ananung'unika sana
 
hahhahaha leo aminata utajuta kuleta hii mada yako hapa..utajuta na sijui utamwambiaje huyo rafiki yako mwe!![/QUkupenda kubaya hu
jui tu au hujawai kupenda we ivuga ne akimuacha akiwa na huyo brand new na yy kumbe yuko ivoivo yy atajuaje sasa kama huyo brand new ndio mr right guy..................huoni ka yy anaogopa kuingia chaka tena mana waongo hawako na alama ili umujue fasta na kumtemela mbali ndio mana yuko dilema

Kwani ye wanaume ndo maisha yake? Kwa sasa hivi akitulia bila kuwa na mwanaume atakufa, au wakati akiwa tumboni mwa mama yake alipigwa chata ya mwanaume kwenye moyo wake?? Namshauri kwa sasa aweke kando kwanza hayo mambo ya wanaume, atulize akili apate muda wa kufikiria vizuri na ajipe muda wa kufanya mambo mengine ya muhimu kwake! Really, aachane na hiyo relationship kama anajipenda!
 
wewe kipipi sasa unaharibu sherehe ...huyu si kapata mtu ambaye anampenda..na huyo mtu yupo single basi inabidi awe naye kwa mda na waendelee kusomana hai watakapoamua wenyewe waoane lini kwani huyo rafiki yake anatakiwa awe na mtu wa kumshauri na kumliwza
 
Yaani we unaangalia sherehe tu na kuliwazwa? Kwa kipimo kipi hata aweze kuamini kuwa huyo brand new ana mapenzi ya dhati? Haven't u seen that huyo dada yuko dilema the thing that signifies her first step to her poor decisions? I think angetuliza kwanza akili though she can allow just a normal friendship with that other guy!
 
Hayo sio mapenzi bali ni utumwa....
Kama anataka kuendelea kunyanyaswa....kupoteza kiungo/viungo au hata maisha huko mbeleni aendelee tu na huyo mume wa mtu. Mpaka atakapoamua hataki tena kuwa mtumwa ndipo atakapojua nini haswa afanye!! Mtakie kila la kheri.
 
na mwishowe apate na maradhi hata ya nguvu za giza.mume wa mtu sumu mwanawane.
 
hilo yeye kavaa miwani ya mbao

hahahahaaa umenifurahisha sana dear.......! Nadhani hicho ndicho anachokisubiria!!

mwache aendelee na huyo mume wa mtu, atakaponyofolewa jicho atajua kumwacha

yeye si anaona kapata
aminata lepo umekomaje ...
 
mwanaume kaoa kanisani kabisa yani na yuko na 4 years kwa ndoa yake ..................sasa hata akiachana huko mahakaamani bado itabidi wafunge serikalini sio kanisani tena na hajawai kumtambulisha huyo shost wangu kokote hata pete no hana ..........kila akiuliza mvulana humjibu wanipenda we tulia na omba haya mabo yaishe haraka sana na mm hua namuambia wakati ww unaomba yaishe yule dada naye anaomba yasiishe koz hataki kumpoteza husband wake.................na mungu lazima asikilize sala za mke sio za shost

ndugu yangu hayatakaa yaishe.Mna ushaidi kwamba anamwacha mahakamani?Huyo jamaa ni muongo wala hana mpango wa kumpa talaka mkewe na yawezekana mkewe hata kibaoi hampigi,huyo rafikiyo nddio punch bag.Kuna mdada mmoja nnamjua(ningetaja kazi yake lakini akiona hii thread atajijua tu na ntamponza asiyehusika)huu mwaka wa nane anasubiria mke apewe talaka ananunuliwa magari na kujengewa nyumba na huyo mme wa mtu lakini kipigo ni mpaka anapelekwa hospital,mkewe hathubutu kumpiga hata kofi. wala kumpa hiyo talaka.
 
Back
Top Bottom