Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

aminata lepo umekomaje ...
nishakuambia nitakuwashia mishumaa na inavowaka taratiiiiiiiibu nakusuta mpata iishe mana umekaa kiugomvi tu hapa mwe...........................................mwenye meno hatumiii nguvu babuuuuuuuuuuuuuuuu
 
aminata au ni weweeeee? bwana mwambie huyo ifike mahali ajitambue vipigo vianza no more mapenzi ajitulize amlee mtoto huyo gume2 kama ni wake atarud and atakuwa fyn mapenz yakubeg yanakaraha tell her
 
aminata au ni weweeeee? bwana mwambie huyo ifike mahali ajitambue vipigo vianza no more mapenzi ajitulize amlee mtoto huyo gume2 kama ni wake atarud and atakuwa fyn mapenz yakubeg yanakaraha tell her
sio mm mpz............................yy anasema hawez kumpenda mwingione koz mapenz yake yote yako huko kwa msela mwenye mke
hata akijaribu kumuacha ni cku mbili ashamrudia yani kama lamuja denvida vile
 
anampenda tu kwa dhati na haoni mwingine yani moyo wake wote umemjaa huyo bwana wa mtu hata akitaka kumwingiza new hawezi kuingia mana nafasi is full ................so labda huyo mpya ndio afanye hiyo kazi ya kumfuta yule mume ndani ya head ya huyo shost tatizo ndio hilo shost anaogopa kumpa nafasi huyu mpya anaogopa naye anaweza kua ka yule tu .............imean kipigo,muongo.na pengine naye kaoa
we koma
 
tafadhali msaada wako unaweza kuinusuru roho ya dada huyu
kuna shost wangu anampenda sana mume wa mtu kinoma yani na kabla ya kuingia ktk mahusiano na huyo jamaa aliambiwa ka jamaa anamke na mtoto wakiume ila hakuamini na alipomuuliza huyo msela akamwambia hana wakaishi kwa mda wa miaka 2 hapo chuoni hadi shost wangu kapata mimba na kazaa mtoto wa kiume na sasa yuko na mwaka mmoja .huyo bwana sasa kamaliza skul na kuondoka msichana bado miaka 3 ndio amalize skul na wakati wakiishi wote mwanamme alikua nampiga snaa hata kipindi akiwa na mimba aliwai kumpiga mara mbili na hata alipojifungua wakati akiwa na wiki 2 tu toka atoke medical mshikaji alimwambia wajamiiane ali[okataa alimpiga na baadae kujamiana nae
yani alikua anamtesa sana shost wangu ila kila tuli[pomuambia a,muache alikua anasema anampenda sana ndio mana na haoni mwingine walishawai kuachana miezi sita ila shost wangu akawa na mtu mwingine ila alishindwa kukaa naye koz anampenda sana msela akarudi kwake ila pamoja na kurudi kipondo hakikuacha kuendelea na masharti makali na mpaka ana mialama mikononi na mwili sana tu koz ya huyo msela
sasa mi nikamwambia mwache akajibu cwez koz nampenda sana na sioni mwingine yani simpendi mwingine
sasa msela yuko kwao huko ndio anafanya mipango ya kumuacha yule mke wakle wa kwanza ili amuoe huyu sasa shost wangu ila kitu kinagoma kwani yule mama hataki kuachwa naye lo!
SASA KAMA MUNGU TU AMETOKEA KIJANA MMOJA ANAMPENDA SANA HUYU SHOST WANGU KWA MADAI YAKE KOZ CJAMUJUA BADO KA NAYE ANAMAANISHA AU LAH!.........Ila ye yuko bado anasikilizia wale waachane utafikiri kawekewa dawa mwe!
asa yuko dilema amuamini huyu mpya au amungoje yule comandoo wake huko au?????

Afadhali huyo shosti wako anampenda mme mmoja tu wa mtu!
Yupo mdada mmoja alikuwa ananipenda sana sikujua kumbe waume za watu tulikuwa kama rundo hivi na wote tunapendwa sana!
 
sio mm mpz............................yy anasema hawez kumpenda mwingione koz mapenz yake yote yako huko kwa msela mwenye mke
hata akijaribu kumuacha ni cku mbili ashamrudia yani kama lamuja denvida vile
noted!! huyo rafiki yako hajui dhambi ya kumpenda mme wa mtu
 
Afadhali huyo shosti wako anampenda mme mmoja tu wa mtu!
Yupo mdada mmoja alikuwa ananipenda sana sikujua kumbe waume za watu tulikuwa kama rundo hivi na wote tunapendwa sana!
kwaiyo unataka kuniambia bora huyu aendelee kumpenda tu huyu mmoja sio..............point taken
 
ww si una wako yule anayeumia au sio ww.....................nani anataka kufa huko mwenzangu anaumwa wiki mbili ndio nije mm si nitalazwa kabisa mwe!
mi bamia zaizi yangu babuuuuuu
hahhah..wewe aminata una vituko kweli ..hakuan mpenda vibamia duniani ..wewe jana si ulikuwa unatafuta mtu mwenye busha? au sio wewe
 
Back
Top Bottom