Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

weitaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! mpe husninyo nyama choma na kinywaji hapo.mimi mwenyewe dada yangu kama akipigwa na mumewe tunamfuata .. Nani anapenda ndugu yake awe na chongo au kilema cha maisha?
inahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
hujawai kupenda ww kuna watu wakipenda wanapenda kweli...............si bora ye hajapenda kufikia pale pa kujinyonga bado ina mana hajafikia hali mbaya saaaaaaaaaaaaana anaweza kuokolewa au nakosea mamito

sijawahi kupenda kweli. Wala hujakosea aminata.
 
What the hell is this? Hivi ni ujinga gani huo anaoufanya rafiki yako? Kupigwa apigwe na bado ang'ang'anie tu, let alone the fact that yule ni mume wa mtu! Jamani, kupendwa usipendwe hata kujipenda mwenyewe ushindwe? So wonderful!
 
nishamwambia ila hasikii anasema anamtoto naye na anaogopa kuja kuulizwa na mwanae baba yake yu wapi na hapendi mwanae kuja kulelewa na mzazi mmoja tu .....................nashanga
 
huyo rafiki yako hafai kabisa hivi kuna watu wanajitahidi na wanatumia akili kufikiria jinsio ya kumtenda mwanamke mwenzake??? sasa amvunjie ndoa mwenzake halafu aolewe yeyeyey duh hii kali ila aelewe ya kwake haitadumu kwani kuna atakaye ivunja kwani mwanaume anaonekana hana msimamo
 
kweli mapenzi ni kizungu zungu tu!! kila mtu ana formula yake, zingine hatari !!! amfuatilie na huyo mpya C.V yake afu apime kwenye mizani
 
mwanaume kaoa kanisani kabisa yani na yuko na 4 years kwa ndoa yake ..................sasa hata akiachana huko mahakaamani bado itabidi wafunge serikalini sio kanisani tena na hajawai kumtambulisha huyo shost wangu kokote hata pete no hana ..........kila akiuliza mvulana humjibu wanipenda we tulia na omba haya mabo yaishe haraka sana na mm hua namuambia wakati ww unaomba yaishe yule dada naye anaomba yasiishe koz hataki kumpoteza husband wake.................na mungu lazima asikilize sala za mke sio za shost
 
kweli mapenzi ni kizungu zungu tu!! kila mtu ana formula yake, zingine hatari !!! amfuatilie na huyo mpya C.V yake afu apime kwenye mizani
yy hataki kumvisha huyo mpya mzigo ambao haumuhusu koz yule brand new kasema yuko tayari kumtake in huyo shost na dogo wake in da house ila huyu dada anaona huyu kaka ha deserve kua naye koz yy anaona ka maisha yashamuaribikia so hatakai kumtwika huyu kaka hilo jizigo
anajifeel guilt kinoma yani kudate na huyu kaka koz yuko na kid
mi namwambia hiyo sio ishu koz kaka mwenyewe kapenda haelewi lo!
 
ndio maana yake. Unapomfanya mtu aishi kwa huzuni ujue unajipunguzia baraka.
................. duh! je kama wale waliungana kwa bahati mbaya na huyu shost ndio ubavu wake mana ndio shost anaamini ivo hapo je inakuaje wale wadini waseme hapa
 
huyo rafiki yako hafai kabisa hivi kuna watu wanajitahidi na wanatumia akili kufikiria jinsio ya kumtenda mwanamke mwenzake??? sasa amvunjie ndoa mwenzake halafu aolewe yeyeyey duh hii kali ila aelewe ya kwake haitadumu kwani kuna atakaye ivunja kwani mwanaume anaonekana hana msimamo
hapo chacha kipenda roho hula nyama mbichi ndio ujue ivo kashapenda yy na yuko tayari kuila hilo linyama libichi
 
usiseme ivo mapenzi upofu shoga we

Upofu?? I fail even to imagine how weaker this reason 'upofu' is! For I don't see any upofu hapo rather than stupidity...........no wonder hata kichwani mwake anaamini abusive relationship is like paradise in heaven!
 
hapo chacha kipenda roho hula nyama mbichi ndio ujue ivo kashapenda yy na yuko tayari kuila hilo linyama libichi

hakuna cha kipenda roho ni ujinga lakini akumbuke umtendeapo mtu baya malipo yapo ... next time utakuja kutuambia rafikiyo amemfumania huyo mwanaume na atakuwa analalamika wakati yeye anachofanya ni sawa na mauaji hajui huyo mwanamke mwenzake ataathirika vipi kisaikolojia au maisha yake yatakuwaje akimpoteza mume
 
Back
Top Bottom