eti wanasema bantu figa ni analojia na wale dada zetu wasiojaaliwa nyuma ni dijitali,je wewe mwenzangu umehamia dijitali au bado upo analojia????
Ya nini tuumize akili zetu kwa issue kama hii,mbona mi naona vyote sawa. kama ni mechi c tutazicheki pote analojia na digital bwana!kama ni hivyo basi mimi bora nibaki analojia.