Analima na Kofia ya CCM

Kwanini asitumie tractor.... am sure he can afford it.... au akiuza zile v8 anaweza kununua used combined harvester na tractor ambayo inaweza kupanda pia
 
Huyo naye anatuzuga tu!! Mkulima gani na kofia ya chama na truck la serikali? si angepiga hata jeans tu na shati la kazi? au angevaa cover-all kabisa....naona alitaka picha ya kuuza sura....

Hana ishu
 
kujikinga na jua,kofia yeyote wavaa ilimradi isiharibu maana na itikadi ya chama chako,kama huna chama wavaa kofia yeyote ile ilmradi jua lisikupige

mapinduziiii daimaaaa
 
Ila hadi X-mass analima? Mmmmhhh.....!!!!!! mm nilifikiri angekemea Dowans sasa analima nini? akijiandaa kwenda shamba
 
Hapa alikuwa anaigiza filamu ya KK (Kilimo Kwanza) na Huu usanii kaanza lini?
 
Hii picha itolewe mabango makubwa kama yale ya Jk af wasambaze nchi nzima itawasaidia kuhimiza kilimo kwanza
 
Huyo naye anatuzuga tu!! Mkulima gani na kofia ya chama na truck la serikali? si angepiga hata jeans tu na shati la kazi? au angevaa cover-all kabisa....naona alitaka picha ya kuuza sura....

Hana ishu

Hii thread imenivunja mbavu sina hamu. Duh! mwacheni mzee na "Kilimo Kwanza".
 
Back
Top Bottom