Mkuu Mshana Jr naomba msaada kidogo Mimi Kuna kitu kinabangua bongo yangungoja nikupe darasa. majini ni viumbe kama binadam. binadam wameumbwa kwa udongo wakati majin wameumbwa kwa cheche za moto.
Kila ninavyozidi kufukua Mambo nahisi kuchanganyikiwa na kuhusu suala la Moto, wanasema tunaenda Motoni tikitenda dhambi Ila sisi binadamu ni mapande ya Moto ni kuni zinazowaka kila Leo sisi ni nishati miili yetu ni Moto tosha na inaendeshwa na Moto, sasa linapokuja suala la MotoKwahio wewe mwili ukikosa utasemahewa na kwenda peponi ambapo huenda utakosa tena hence kutupwa moto wa milele ?
Yaani the struggle continues to infinity ?
Sasa hapa ndio ninagundua kua sisi ni kuni zinazowaka Moto na ndio maana hata zamani za enzi hizo za kale mababu na mabibi zetu walituhimiza kuenda kukusanya kuni kwa sisi tuliowahi kuishi kwenye mikorosho huko kusini unakuta nje mna mikorosho mikubwa mkiamka asubuhi ni kukusanya majani ya mkoroshi na mabua ya mahindi kisha kuwasha Moto na kuota Moto ili kukimbia baridi inamaana sisi ni MotoWahenga tunasema Tunae kata nae kuni ndiye tunaota nae Moto na wakaongezea akufaae kwa dhiki nyie rafiki. Hamisi Tabasamu tumekuwa nae ametufaa kwa dhiki huyu ndio rafiki yetu tukae ota nae Moto.
Maana yake mwanadamu anapokosa pumzi, maji na hewa anakua mgumu km Ardhi76. When he is born, man is soft and weak; in death he becomes stiff and hard.
Wewe ama sisi ni sehemu ya nishati hai (living energy). Vitu viwili vinavyokamilisha uumbaji ni mwili na roho.. Mwili ni hardware na roho(nishati) ni software)Mkuu Mshana Jr naomba msaada kidogo Mimi Kuna kitu kinabangua bongo yangu
Nikisoma hio comment hapo na kuna wengine husema mashetani wameumbwa kwa Moto ila
Kila ninavyozidi kufukua Mambo nahisi kuchanganyikiwa na kuhusu suala la Moto, wanasema tunaenda Motoni tikitenda dhambi Ila sisi binadamu ni mapande ya Moto ni kuni zinazowaka kila Leo sisi ni nishati miili yetu ni Moto tosha na inaendeshwa na Moto, sasa linapokuja suala la Moto
Sasa hapa ndio ninagundua kua sisi ni kuni zinazowaka Moto na ndio maana hata zamani za enzi hizo za kale mababu na mabibi zetu walituhimiza kuenda kukusanya kuni kwa sisi tulioishi kwenye mikorosho huko kwetu kusini nje mna mikorosho mikubwa mkiamka asubuhi no kukusanya majani ya mkoroshi na mabua ya mahindi kisha kuwasha Moto na kuota Moto inamaana sisi ni Moto
Cha kushangaza ukipumua mkononi kwa nguvu kidogo utaweza kuona unapata vitu vitatu, Joto (Moto), Upepo/Pumzi (Hewa) na Mvuke (Maji), vyote vinatoka kwa pamoja namaanisha vinatoka kwa wakati mmoja, sisi ni Kuni zinazowaka Moto kwa maana nyingine miili yetu ni sawa na Ardhi yenye Moto, Upepo na Maji
Nimekaa bikatafakari sana juu ya hili naomba ufafanuzi mkuu
Aaaha kwa hio sisi ni nani na kwanini watu husema tunaenda Motoni ilihali sisi ni sehemu ya Moto?Wewe ama sisi ni sehemu ya nishati hai (living energy). Vitu viwili vinavyokamilisha uumbaji ni mwili na roho.. Mwili ni hardware na roho(nishati) ni software)
Nishati yoyote kwenye kufanya kazi huzalisha vitu vitatu
Joto/moto
Pumzi/hewa
Kimiminika/maji
Kwenda motoni ni dhana ya kiimani na ni dhana pana sana.. Na zipo imani nyingi zenye tafsiri tofauti kuhusu hicho kitu ..hebu soma hii mada inaweza kukupa mwanga kidogoAaaha kwa hio sisi ni nani na kwanini watu husema tunaenda Motoni ilihali sisi ni sehemu ya Moto?