Ushuhuda : Nilipotea njia na kuingia chumba cha majini

Ushuhuda : Nilipotea njia na kuingia chumba cha majini

kiukweli kabisa nimepapenda sana hapo kwenye msg zilizoandikwa kiarabu! namba za kiarabu!
hayo maelekezo kwa kiarabu nani alimsomea?
ila kama haya ni ya kweli na yamefanywa na Mungu wangu ninayemwamini mimi basi sifa na utukufu apewe Mungu wangu!
 
kama kuna hii story ''mimba ya jini'' yaani uislamu umedhalilishwa sana waziwazi...kwanza jini anaitwa shehna=shehe...salamu ya huyo jini ni assalam aleykum=salamu ya kiislam..jini anaasili ya kiarabu=uislamu....jini anavaa baibui na niqab=vazi halisi la kiislam.....mwanaume aliyeoa jini anaitwa yusuph=akimaanisha wanaume wa kiislam ndio wanaooa majini.....alienda kwa mganga na kumsalimia vpi ustadha wangu=maustadh ndio waganga,,,,sasa mtu kama huyu anawataka nini waislam....akishikwa na kuchinjwa mtasema waislam magaidi...angalieni chochoko hizi ndivyo zilivoanza kule Rwanda mpaka kupelekea mauji ya kimali hata huko africa ya kati mambo yalianza hivihivi...kueni makini ndugu zangu....tunga hadith yako lakini usihusishe na iman za watu.....
 
Hakuna ndoto ndefu kama hiyo bro.Alafu ktk maelezo yako inaonekana umeshawahi kushiriki ktk ushirikina, bado una imani mbili ,bado hujawa msafi kuokoka, hii Ndio tafsiri ya ndoto yako.
 
majini hasa wa kike watu husema ni wazuri sana, ndio maana wanawahusisha na waarabu kwa sababu wanawake wa kiarabu ni wazuri sana
 
kwa sababu wanawake wa kiarabu ni wazuri na wastaarabu. huwezi kuwafananisha na mataahira ya kizungu
Hapa sijaelewa, watu wanahusianisha majini na uarabu kwa sababu wanawake wa kiarabu ni wazuri na wastaarabu!?
Kwa maana hiyo unataka kusema majini nao ni wazuri na wastaarabu?
 
Hapa sijaelewa, watu wanahusianisha majini na uarabu kwa sababu wanawake wa kiarabu ni wazuri na wastaarabu!?
Kwa maana hiyo unataka kusema majini nao ni wazuri na wastaarabu?

ngoja nikupe darasa. majini ni viumbe kama binadam. binadam wameumbwa kwa udongo wakati majin wameumbwa kwa cheche za moto.
 
majini wamepewa uwezo mkubwa kupita binadamu, ndio maana wana uwezo wa kujigeuza kwa maumbo tofauti wapendavyo
 
ngoja nikupe darasa. majini ni viumbe kama binadam. binadam wameumbwa kwa udongo wakati majin wameumbwa kwa cheche za moto.
Wamembwa kwa cheche za moto ila wakafananishwa na waarabu eti?
Inasemekana pia wanapendelea kuzungumza kiarabu, hili lina ukweli gani?, hebu nipe darsa na hapa mkuu.
 
simu ina lugha zote unaweza kubaili unavyotaka na ukaandika meseji na kutuma sasa huyo kafanyiwa hizo fiksi akadhani anatumiwa na majini. Halafu mambo mengine mnaota ndoto mbaya usiku halafu unakuja kudanganya nilichukuliwa na majini kumbe ni ndoto zako hizo. Pia kuokoka umefanya vizuri maana historia yako ya ujana huendaa ulifanya madhambi makubwa sana mpaka mungu akakupa mtihani uliokuelekeza kukunusuru

Ww ni Islamic mwenzangu?
 
kama kuna hii story ''mimba ya jini'' yaani uislamu umedhalilishwa sana waziwazi...kwanza jini anaitwa shehna=shehe...salamu ya huyo jini ni assalam aleykum=salamu ya kiislam..jini anaasili ya kiarabu=uislamu....jini anavaa baibui na niqab=vazi halisi la kiislam.....mwanaume aliyeoa jini anaitwa yusuph=akimaanisha wanaume wa kiislam ndio wanaooa majini.....alienda kwa mganga na kumsalimia vpi ustadha wangu=maustadh ndio waganga,,,,sasa mtu kama huyu anawataka nini waislam....akishikwa na kuchinjwa mtasema waislam magaidi...angalieni chochoko hizi ndivyo zilivoanza kule Rwanda mpaka kupelekea mauji ya kimali hata huko africa ya kati mambo yalianza hivihivi...kueni makini ndugu zangu....tunga hadith yako lakini usihusishe na iman za watu.....

Hata kama unauma kiasi gani! huo ndo ukweli!
 
Hiyo ilikuwa ndoto. Tusubiri tu atafikia sehemu atatuambia, ghafra nikastuka toka ndotoni
 
Unatafuta ugomvi na Waislam naona!
Hapana, mkuu abokarakamo amenipiga darsa, amesema ni kwa sababu majini ni wazuri na wastaarabu kama waarabu, sio kama wazungu.
Akaendelea kunipatia ilimu kuwa majini wameumbwa kwa cheche za moto, sio kwa udongo kama binadamu.

Nikamuuliza kwamba, walipoumbwa kwa cheche za moto walifananishwa na waarabu?, naona hajapata wasaa wa kunijibu.
 
Majini ni malaika wa shetani walioasi pamoja nae huko mbinguni na kufukuzwa. Shetani na malaika zake ndio walioandaliwa moto wa milele na wote watakaokubali maudhui yake na kumuacha yesu kristo aliyekufa msalabani kwa ajili yetu sote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom