Kwenda motoni ni dhana ya kiimani na ni dhana pana sana.. Na zipo imani nyingi zenye tafsiri tofauti kuhusu hicho kitu ..hebu soma hii mada inaweza kukupa mwanga kidogo
Mi nieleweshe kuhusu grimoire ya papa honorius, hiki kitabu mi sikielewagi,mbona kina kama mambo ya kichawi halafu ktk practice zake na Zaburi tena zimetumika kukamilisha uchawi Ili mtu apate matokeo anayoyataka?? Kwani hiki kitabu cha Zaburi si ni kitakatifu kabisa na hua naskia wachawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.