muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Sasa mnafanya peku mnategemea nini?,..
Inaweza akawa na mapenzi ya dhatiWakuu habarini,
Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.
Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.
Wakuu habarini,

Et anasema hatoweza kufaulu masomoNgoja atoe na kizazi.
Ila wewe ndugu yangu angalia kwanza je huyo mwanamke kwa nini hataki kuzaa na wewe?
Toa tu.. Sacrifices are licit..Wakuu habarini,
Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.
Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.
Mmh possibleYeye ndiye anakuona haufai anaona bado siyo mtu sahihi.
Bahati mbaya imetokea AF tupo chuoHivi umewahi kusikia kitu kinaitwa ndom!? Wote bado mko chuoni kwanini unataka kumuharibia mwenzio masomo yake!?