Analazimisha kutoa mimba ya pili

Analazimisha kutoa mimba ya pili

Da! Yani mnaua hivihivi mchana kweupe. Mungu anawaona ujue.
 
I can imagine, huyo ni girlfriend wako leo, ni mke wa mtu baadae. Leo anatoa mimba ya pili, baadae akiwa na husband wake watakuwa wanaingia kila hospitali, kutafuta best specialist ili tu wapate mtoto mmoja.

...shame!!
 
Wakuu habarini,

Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.

Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.

UTALEA VIPI KIJANA WAKATI BADO MWANAFUNZI? UNADHANI KUITWA BABA NI MCHEZO MCHEZO TU

KWANZA UNAPASWA KUTAMBUA

BOOM LIMEKATWA, AJIRA MTAANI HAKUNA, BADO UNALALA KWENYE SINGLE BED, HIVYO HUFAI KUITWA BABA

ACHENI KUTULETEA PANYA ROAD HAWA TULIOKUWA NAO MTAANI WANATOSHA

UKIACHA UTOTO NA KUPATA AJIRA YA UHAKIKA NA UKUWEZA KUJIKIMU THEN UTAKUWA BABA
 
Umemuoa? au unalalamika hakuzalii kama nani? wacha atoe ukiwa mmewe atazaa.
 
Mng'oe puchi yake kabisa pabaki km bonde la mpunga maana biashara ya watoto imewashinda.
 
Et anasema hatoweza kufaulu masomo
Sasa si uvae kinga? Unakuwa mshamba wa K unashindwa kujilinda na kumlinda mwenzako?
Kuzaa sio kula kashata, kulea ni issue ndugu yangu.
Kuwa makini utakuja kujuta.
Kwa sasa fanya juu chini hio mimba isitoke
 
Kaenda kutoa kisiri mkuu
 
Huyo mzoefu, ukute kuna nyingine alishazitoaga long time, sema wewe hujui tuu......kademu kashazoea kuua hako
 
Wakuu habarini,

Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.

Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au anamaanisha nini.
UMEFANYA VIZURI USIUE NDIO AMRI YA MUNGU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom