Anajitajika msichana wa Saloon ya kike..kigamboni-kibada

Asante mdau:Msichana mwenye ujuzi wa Saloon ya kike-kupamba,kusuka,hair treatment na huduma zote za saloon ya kike..Salon ipo Kigamboni Kibada...awe tayar kufanya kazi kwa uaminifu na umakini tusogeze gurudumu la maisha
Asante nawe kwa ufafanuzi hujazungumzia habari ya kula kulala maana inaweza ikatokea mtu alie nje na hapo kibada
 
Back
Top Bottom