Anaitwa Godbless Lema

Anaitwa Godbless Lema

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,954
Reaction score
19,781
Naam ni yeye,
Eeeh ni yeye😂😂

Aliwahi kuwa mbunge pale Arusha mjini, ni mmoja wa watu safi anayejua kujenga hoja na kueleza kitu kinagaubaga.

Nipo live nimechukua notice nachukua madini mdogo mdogo ,Leo hii hili jamaa limeamua,halitaki unafiki,linatema cheche.

Yaani anaongea ukweli na uwazi mno siyo ule utakatifu ambao chadema wamejivisha miaka mingi,kila siku CCM, CCM CCM kana kwamba wao ni malaika,manina zao.

Sasa naona kitumbua mshatia mchanga,mpo kama watoto wadogo tunashindwa kuwaelewa kilio chenu kinatokana na njaa ama mnaumwa?

Tuwapeleke hospital au tuwapikie chakula?😂😂😂

Halafu eti mnajiita makamanda,makamanda gani mnashindwa hata kutofautisha mfia chama na mamluki,nyie mkiona mtu kaisifia chadema bado mapengo yote yanaonekana mkihisi kila mtu ni mwenzenu.shubaamit😂
 
Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2027???
Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania.

Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo kiuhalisia huangalia watu wanaogusa maeneo mbalimbali ya kimaisha.

Tuonekwanza maana ya tuzo hii
Tuzo ya amani ya Nobel ni tuzo ya kimataifa yenye heshima kubwa inayotolewa kwa mtu, kikundi, au shirika lililofanya kazi kubwa zaidi au bora zaidi ya kukuza udugu kati ya mataifa, kupunguza au kufuta majeshi, na kuandaa au kuendeleza mikutano ya amani
Miongoni mwa sababu zitakazomfanya Mch Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo hii
1.Kutokulipiza kisasi
2.Kuwa mhubiri pekee ambaye Yuko tayari kuwa na utajiri mdogo kuliko washirika wake
-mfano, Nimeona muumini wake Robert Mwaikwila(samahani kama jina la pili limekosewa) mumoja akitajwa kwa utajiri mkubwa zaidi ya Mbarikiwa Mwakipesile ambaye ni MCHUNGAJI wake miaka mingi na siyo kwamba alimkuta na utajiri HUO
3.Anafundisha sana "umhimu wa utu" katika kila akihubiri
-binafsi ukiniuliza lengo kuu la Mch Mbarikiwa Mwakipesile kuihubiri INJILI nitakujibu kuwa anahubiri Ili watu wote wawe na utu
4.Ameandika vitabu vyenye mvuto wa kidunia ambapo
Ameandika vitabu vya;
A. WANADINI NDIO KIKWAZO KIKUU CHA UKOMBOZI HALISI WA WANADAMU DUNIANI
B.SOLUTION (SULUHU):Nina SULUHU la nini kifanyike ili duniani pawe salama na pazuri kuishi kuliko ilivyo sasa
5.Ameimba nyimbo zenye mguso wa kweli kiroho na kimwili
Kwaufupi ndivyo niwazavyo
 
🤔
 
Changamoto ya afya ya Akili
 
Back
Top Bottom