Anahitajika msichana mwenye uzoefu katika biashara za miamala ya simu na benki

volk

Senior Member
Aug 16, 2023
155
289
Habari Wana jamvi Kama kichwa cha habari kinavyosema ,Anahitajika msichana mwenye Uzoefu ktk biashara za miamala.

Elimu kuanzia form four.

Awe anapatikana Dar maeneo ya mbezi au kibaha maili moja.

Kwa maelezo Zaidi PM ipo wazi.
 
Nakupa mmoja ambae anafanya hiyo biashara ana ndugu yake anamuachaga dukani kwake amsaidie

Namba nilizo nazo ni za huyu mdada ambae (ni mteja wangu) huwa nikipeleka mzigo dukani kwake namkuta mdada mwingine shost ake anamsaidia kuuza.

Ni mzoefu na anajua,kama uko serious njoo.pm nikupe namba muelewane.
 
Sio kila anaetafuta mfanyakazi ni Mwanaume, JF inaamini hivyo yani.

ID hiii ukute n mmama kakaa mahali kaweka tangazo mtu hujui mtoa tangazo unasema atabakwa mtu... wanawake wanabakana siku hizi?!
 
Nakupa mmoja ambae anafanya hiyo biashara ana ndugu yake anamuachaga dukani kwake amsaidie

Namba nilizo nazo ni za huyu mdada ambae (ni mteja wangu) huwa nikipeleka mzigo dukani kwake namkuta mdada mwingine shost ake anamsaidia kuuza.

Ni mzoefu na anajua,kama uko serious njoo.pm nikupe namba muelewane.
Asante naku pm
 
Back
Top Bottom