Anahitajika Haraka Fundi mzuri wa Digital Camera pande za Moshi..

Anahitajika Haraka Fundi mzuri wa Digital Camera pande za Moshi..

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Camera yangu aina ya SONY leo imeniharikia.

Inawaka na kuzima kama vile betri imekufa na hii imesababisha lens imestuck haimove in-out kama ilivyokuwa mwanzo.

Tafadhali kama kuna kuna mtu anaweza saidi ndugu zangu,mwenzenu ndiyo nishakwama hivyo.
 
Mtafute jamaa mmoja anaitwa NGOTI anapatikana karibu na MDC
 
Opposite na jengo ka Tarimo complex kuna fundi camera nilishawahi peleka yangu ni Fundi mzuri
 
Asanteni jamani.Ngoja ni kawacheck.
 
Back
Top Bottom