BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,298
*Anouncement*
Naitwa *Hope* *L* *Paul*. Mwanafunzi wa chuo * cha Tanzania Institute of Accountancy(TIA) Dar-es-salaam campus Mobile phone *(0758572014)*.juzi nikiwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha na Mbazi express *T* *382* abiria mwenzangu alishuka njiani na bahati mbaya kachukua begi langu akidhani ni lake kwani yana fanana... Na mpaka sasaivi sijafanikiwa kumpata ndani ya begi mbali na nguo kuna vyeti vifuatavyo
1)cheti cha form six cha Bagamoyo Secondary.
2)cheti cha form four cha Ngarenaro Secondary school
3)cheti cha darasa la saba cha Engarenarok Lutheran Tetra Primary school
4)kitambulisho cha chuo cha TIA
5)log book kwajili ya field.
6)cheti za kuzaliwa
Tafadhali upatapo ujumbe huu tuma kwa groups ulizo nazo kwa kadri utakavyo weza niweze kuvipata. Kila mmojawetu anajua umuhimu wa nyaraka nilizo taja hapo juu.
COUNTING ON YOUR HELP.
THANK YOU.