Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,621
- 7,137
Habari ndugu zangu.
Mimi Sakumi N. Gabriel mkazi wa Mbeya leo tarehe 6.10.2018 nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kwenda Mbeya na basi la Premier Line.
Nilipofika Iringa mjini nimeibiwa begi lililokuwa na cheti changu cha Form Four. Majina kwenye cheti ni Gabriel N. Sakumi, nimemaliza mwaka 2006. Shule ya Morembe day secondary school.
Kwa yeyote atajayekiona naomba awasiliane nami kwa simu namba 0754 06 55 45. Naomba msaada wenu watanzania wenzangu. Share kwenye ma-group mbali mbali ya WhatsApp ili taarifa ziwafikie na wengine. Asanteni
0754 06 55 45