Anahitaji matibabu ya haraka kuhusu mahusiano

Hivi kwa huu mwandiko wako,wanaume waliooa wanawake magolikipa wakiamua kuwaacha itakuwaje?Uliwahi kuona mwanaume analalamika kuwa mkewe hana kazi/pesa kwa hiyo anamuacha?Umejiuliza usawa wanaoutaka wanawake ni upi?
kweli wanaume wanazidi kupotea! mpaka katika vitabu vya dini imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho au ukisikia mwanaume ni kichwa cha familia huwa huelewi wanamaanisha nini. mwanaume ni provider wa familia hayo ya usawa yana mipaka yake. na ndio maana ndo zinakuwa ngumu vile wanaume hamjui majukumu yenu kama baba wa familia huo usawa ndo mnataka na nyinyi muwe magolikipa?!?
 
Mwandiko mwiiiingiii!Jitahidi uyajue maisha halafu leta mwandiko wako tena.
 
Duuh. Kaazi kweli kweli.Hapa ndio huwa tunakosea wanawake tulio wengi.

Ila itakuwa huyo mdada ana shida sehemu sio bure aiseeee. Pole yake huyo Mariooo kwa kukosea pa kuingia.
Na opinion za watu Kama Hawa ndio zinakuwa assumed ni za wanawake wote kwani ndio wana nafasi ya kuongea mbele ya Jamii.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji115] [emoji115]
 
.
IMG-20180324-WA0167.jpg
 
Back
Top Bottom