Anahitaji matibabu ya haraka kuhusu mahusiano

Anahitaji matibabu ya haraka kuhusu mahusiano

Kuna sehemu kanasa siyo bure huyu.
Kwanini asimwache mwenzake kwa ustarabu?
Mwanamke kama huyu ni kumziria kipapuchi chake akatafute mdoli.
Weee hathubutu... Ataishia kudiss tu Mitandaoni.. Amuulize Nyambibo kama fisi anasusiwa busha
 
Weee hathubutu... Ataishia kudiss tu Mitandaoni.. Amuulize Nyambibo kama fisi anasusiwa busha
Viapo ni tatizo tena mbele ya madhabau,Yale ni maagano ya Mtu na muumba wake ila ni shida.

Na mbaya zaidi ni kioo cha jamii.
Sijui mwenzie anajisikieje kwa sasa?

Acha tu Mwanaume atabaki kuwa mwanaume,ata kama hana Mali.
 
elimu uko wapi elimu.....umejifin=cha wapi elimu....
 
elimu uko wapi elimu.....umejifin=cha wapi elimu....
 
Kwenye kiapo cha ndoa pale madhabahu ya kikristo kuna kiapo cha ndoa linasema.... Nitakupenda katika SHIDA na katika raha... Katika hali ya UGONJWA na uzima..... Hadi kifo kitakapotutenganisha.. kwa mzuka wa kuolewa na bila tafakuri kuu wengi hukitamka hiki kiapo bila kujua maana yake halisi
Lakini ukikiangalia kwa makini kinasema nitakupenda katika hali ya UGONJWA sio uzima, katika hali ya SHIDA sio raha... Mabinti wengi wanaoingia kwenye ndoa hawajitambui na ni kizazi cha Lilith... Joyce Kiria ni mfano sahihi na kielelezo cha kweli View attachment 695132
tabu ni kuja mjini kama mtumwa na ghafla unakuwa mtwana wakati ukiwa bado mtumwa! hapa ndipo MUNGU aliwaambia wislaeli katika kutoka 23:29 kuwa sitawafukuza katika mwaka mmoja ili nchi isibaki pori...ili wanyama wasiongezeke na kukusumbua! sasa huyu katoka ghafla ugali na uji mpaka pilau kuku kwahiyo hapo alipo ni mbali sana bado utumwa unamsumbua na ushamba achilia mbali kuwa hawezi kujiamini kabaki anaweweseka! sasa ngoja amwage mwanaume halafu watoto wa mjini wapokezane kama kombolela muda unapofika anahitaji mume watoto wa mjini washakamata na washampoza machungu yake.
ndoa hahitaji utoto wa mjini bali unyenyekefu na busara ndipo unapoweza kuwa mvumilivu na upendo ni kuwa karibu kama sio tayari kufa kwa ajili ya mwingine.
asiwadanganye na ninyi wadada wa humu muwamwage waume zenu mtapoteza siku hizi wanaume hawakufuati kwenu!
mbaya zaidi baba yako anaweza kuwa anakucheka kwakuwa hujui visa alivyomfanyia mama yako!
 
Anawajengea negative state itakayokuja kuwasumbua mbeleni
inawezekana pia anamaumivu ya ndani ambayo hawezi kuwa tayari kuyasema ili apone matokeo yake ni hukumu zisizo na maana kwa taarifa yake ndoa kuvunjika ni swala la aibu kwa mwanamke na si mwanaume!
kuna neno baya rafiki yangu alikuwa analitumia tukiwa chuo anasema kuwa katika vitu anavyomiliki ni pamoja na wanawake hivyo haoni tokauti kati ya kumiliki gari na mwanamke hivyo unaweza kuona jinsi wanaume wanavyowachukulia wanawake!
 
Kwa kweli nimepata picha kamili asee, humu duniani tupo ndani ya vidunia vingine vidogo vidogo, ndoa ni kidunia kingine kidogo, madereva wanakwabia barabarani ni kidunia kingine kidogo

Mwanamke huyu nilikua namuona shujaa kipindi anampigia mwenzake(mumewe) kampeni, kumbe yotee hayo ubongoni alikua anawaza lile V8 la mzee Magembe
 
Hata kama kunamatatizo mengi kiasi gani lakini haina maana kuwa uweke matatizo yako kwenye mitandano ya kijamii
Ana msongo wa mawazo bila shaka

Huenda alitegemea yule alomzingua arudi kumuomba msamaha bahati nzuri mzee MARIO kafanikiwa kusonga na maisha. Sasa anabaki anajutia

Mara nyingi mtu akikumwaga anategemea aone unapata shida. Hapo furaha anaipata. Ukienda bila kugeuka mtu anahisi amempiga chura teke anaanza kuumia yeye
 
Anawajengea negative state itakayokuja kuwasumbua mbeleni
Ila watoto wanaakili wakikuwa watajua tu mum was the problem .yuko kama amekunywa mbege ilichanganywa piwa(gongo).Anaendelea kunikera kila kukicha.Mwambieni asishawishi watu wote wakubaliane naye kwanza kilewo ni kamanda anayejitambua.Kwani hela ni nini bhana.
 
Mwehu, na kuna wehu wataenda hiyo event, alipo apa madhabahuni alijua lelemama,

Akiachwa hapo hawa wanao mshangilia watamcheka, ndoa ina heshima yake
Naona kashindwa kutimiza kiapo
 
The guy is very wise... He is acting low profile.... As if nothing has ever happened.. Japo ana maumivu rohoni lakini hawezi kumwonyesha yeyote.. Mzigo wake anaubeba mwenyewe
Asije akajiua, maisha bado yapo ajipe moyo mkuu, huyo mkewe atarudi tuu,

Na ndoa yenyew ya Kikristo sasa
 
Akili za pesa,sio maisha,kaskazini wanawake wanakasumba hii.
Haya leo kamtukana kesho kazipata,sijui atamsifia?!!
Nawaza tu kwa sauti.
 
Sio kosa lake, Elimu ni kitu muhimu sana. Na sio hizi elimu za QT elimu ya mfumo lasimi ndio inayojenga ufikiri na maarifa sahihi. QT unasoma kwa stress unawaza familia na kufeli hapo hapo ujue kiingereza, itakucost tu.
 
Back
Top Bottom